Natafuta sehemu ya ku volunteer; Mimi ni mwalimu katika masomo ya geography na history

Habari za asubuhi wapendwa katika bwana,

Mimi ni kijana muhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu kwa masomo ya GEOGRAPHY na HISTORY, na nimehitimu mwaka huu.

Kwa sasa natafuta sehemu ya ku volunteer iwe shule ama taasis yoyote ile amabayo naweza kufit.

Nina uwezo mkubwa usiotiliwa shaka wa kufundisha masomo ya GEOGRAPHY, HISTORY, LITERATURE, CIVICS (GENERAL STUDIES) na COMMUNICATION SKILLS kwa level zote kuanzia english medium primary school mpaka A level pasipo kusahau na vyuo huria.

Kwa yeyote anayeweza kunisaidia pa kujishikiza huku nikisubiria sehemu nilizotuma CV yangu naomba anisaidie.

Kwa sasa nipo KAGERA ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya mkoa huu.

Natanguliza shukrani.
Kuna shule ipo missenyi n ya medium wanahitaji walimu
 
Write your reply...huo ni utumwa kujitoleaa. kwanini ujitolee, pigisha tuition ,maana wabongo ni wanyonyaji. na hiii kasababisha awamu ya tano, walimu wamekuwa wengi mtaani, na kupelekea while binafsi kuleta maringo
 
SUNRISE NURSERY & PRIMARY SCHOOL

Wametangaza Mtu wa Geog na Kiswahili sasa sijui uta Fit kajaribu bahati yako mkuu.
 
Mkuu ukiweka address zao na mode of application itapendeza sana
Boss umeshindwa kweli kutafuta address google Mheshimiwa mpaka tena niweke hizo details mimi.
Anyway nilichokiona kwenye Tangazo shule inahitaji Mwalimu wa aina hiyo na liko brighter monday na hawa jamaa detail nyingine huzificha ili uapply kupitia kwao na uki apply kupitia wao hupati kitu,kwa hiyo kuhusu kutafuta detail za hiyo kitu hapo ni kazi ya muhusika.Kila la kheri.
 
Samahani mkuu nimeuliza hivyo kwa sababu baadhi ya shule details zao hazipo mitandaoni lakin mbali n hilo shule nying zinafanana majina mf. St Mary's st Francis etc. Ndo maana nkaomba address ii nijue specifically ni shule gan na ipo sehem gan.
 
Habari za asubuhi wapendwa katika bwana,

Mimi ni kijana muhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu kwa masomo ya GEOGRAPHY na HISTORY, na nimehitimu mwaka huu.

Kwa sasa natafuta sehemu ya ku volunteer iwe shule ama taasis yoyote ile amabayo naweza kufit.

Nina uwezo mkubwa usiotiliwa shaka wa kufundisha masomo ya GEOGRAPHY, HISTORY, LITERATURE, CIVICS (GENERAL STUDIES) na COMMUNICATION SKILLS kwa level zote kuanzia english medium primary school mpaka A level pasipo kusahau na vyuo huria.

Kwa yeyote anayeweza kunisaidia pa kujishikiza huku nikisubiria sehemu nilizotuma CV yangu naomba anisaidie.

Kwa sasa nipo KAGERA ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya mkoa huu.

Natanguliza shukrani.
Kuna jamaa hapa kitaa alimaliza ualimu wa masomo kama yako mwaka 2015 mpaka leo hana kazi!!

Nashangaaga sana mtu anayesoma education tena arts.
 
Kama utawez kufundsh msingi tunawez kuwasilian
(Ila ipo mtwara-Newala ni shule ya serikali
 
Back
Top Bottom