natafuta sehemu tulivu ya kusherehekea christmas

natafuta sehemu tulivu ya kusherehekea christmas

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,830
kwa wale wanaoishi tanga,morogoro,dar,arusha naomba ushauri.natafuta hotel ya gharama za wastani(isizidi elfu 50)
 
Arusha nenda pale naura spring hotel.
 
Njoo nyumbani kwetu baba kasafiri katoka out na mama wameenda Botswana, mama kasema wanarudi baada baada ya wiki mbili.
 
Nenda kijijini kwenu. . .
Malazi bure, we unatoa pesa ya mboga na mchele tu
alafu unafaidi pamoja na ndugu!
 
Njoo nyumbani kwetu baba kasafiri katoka out na mama wameenda Botswana, mama kasema wanarudi baada baada ya wiki mbili.

asante lakini sijui utajisikiaje nikija na ''ubavu" wangu?
 
Nenda kijijini kwenu. . .
Malazi bure, we unatoa pesa ya mboga na mchele tu
alafu unafaidi pamoja na ndugu!
kijijini nitaenda wakati wa kumtambulisha huyu binti mrembo!!
 
Back
Top Bottom