Natafuta sehemu nzuri ya “karaoke” siku ya leo

Natafuta sehemu nzuri ya “karaoke” siku ya leo

unawashwa na koo tu au kuna sehemu nyingine inawasha? manake tatizo mademu huwa mnashindwa kujielezea mkizidiwa.....ok je una chura? sura inauzika? kama ndiyo uje Triangle Lounge-Namanga

Dah. Kwahiyo unataka kunila?
 
Mkuu, nipo hapa Micassa ya riverside, yaani mtoto hatumwi sokoni. Ni weka niweke.. Kwanza viti vishajaa.. Bandika bandua..

Wale wadada wa kukatikia chupa ya bia wapo?
 
Next time please unipigie nikutajie nitakapokuwepo maana kila Ijumaa na Jumamosi sikosi Karaoke!

Ntakutafta nataka tuimbe ile “Hujatulia honey nakwambia. Kwanini nitulie wakati nakupenda?”
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom