Natafuta Receiver ya Strong (SRT 4922)

Natafuta Receiver ya Strong (SRT 4922)

Habari wadau!

Naomba msaada kwa mtu anayejua sehemu (duka) ambalo naweza kupata receiver ya strong (SRT 4922), hasa kwa Dar es Salaam na Mwanza.

Natanguliza shukrani.
nipigie 0773211726 nikuuzie.
 
labda mnijuze channel list nitapata ngapi za muvies na music na habari, dish nalo nchi ngapi ete au kuna uzi maalumu wa hii kitu?! naweza nunua naa mimi moja
 
Back
Top Bottom