Ujajitambulisha vya kutosha.
Wewe ni dume au Jike
Ujajitambulisha vya kutosha.
Wewe ni dume au Jike
Tangu lini chief akawa jike
Hujui kama Congo na Giriama wa Kenya machief walikuwa wanawake?
BAdo hujatoa explanation ya kutosha ila waweza jaribu Hi5,Facebook na Friendfinder huko utawapata.
Nenda foto baraza mkuu itakusaidia zaidi.huko utawaona kabisa, achana na nick names hapa.
Huyo rafiki unataka ufanye naye nini?