Natafuta Rafiki

Ahsanteni kwa changamoto za challenge. Imani yangu ni kwamba vigezo nilivyoweka ni kwa ajili ya kupata rafiki mwenye marafiki wenye vigezo. Hata hivyo mashambulizi niliyopata ni changafire kwa upande wangu. Anyway hakijaharibika kitu. Ntatoa ufafanuzi zaidi kama ifuatavyo:

Sifa

1. Kama zilzotajwa hapo awali.
2. Kwa wanaume
(a) awe na busara pamoja na uwezo wa kuvumilia maoni ya wengine hata kama
hayapendi.
(b) Awe mzalendo kuanzia katika ngazi ya kijiji hadi Taifa
(c) Awe social na mpenda ukweli.
(d) Asiwe na hasira angalau zisizozidi nyuzi 5
(e) Apendae kujitolea na asiwe kama viongozi wa Tanzania ambao wanahubiri
wasichokiamini kwani hawawezi kujitolea hata kuweka kifusi cha kuelekea kwenye
mahekalu yao ya Mikocheni.
(f)Awe mpenda michezo
3. Kwa akina dada
(a) Mcheshi lakini sio kicheche
(b) Muumini wa ukweli
Mi nlifikiri unatafuta binadamu kumbe wanyama. Kicheche humtaki, je Nguchiro?
 
kumbe watongozaji wako tangu enzi za mababu? Enzi hizo nilikuwa yai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom