Natafuta Rafiki

ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,937
937
Mimi ni Mswahili mzaliwa wa Bongo. Naomba kujitokeza kwa mara ya kwanza katika Forum yetu adhimu kutafuta rafiki wa kawaida. Sibagui dini wala kabila.

Sifa za rafiki anayetakiwa.
Awe mpenda kiswahili.
Awe mhalisi na mpenda ukweli.
Awe mpenda nchi yetu lakini asiwe kama Ngwangwa ak.a Mtikila .
Awe anaongozwa na msimamo wake ambao anaamini ni sahihi lakini mwenye uwezo wa kukubali ukweli.

Wenye dhamira ya dhati wanakaribishwa. Waweza kunipata kupitia chiefmtz@jamiiforums.com
 
Ujajitambulisha vya kutosha.

Wewe ni dume au Jike

Unatafuta rafiki wa kawaida that is too general,please specify wa kushirikiana ktk mambo gani.

Umri uwe kati ya gani na gani.

Tafadhali weka infomation ili watu ajichuje wenye ,na wewe pia data zako ili watu wajue if that's realy what they want.Just kind of screening ......
 
Nenda foto baraza mkuu itakusaidia zaidi.huko utawaona kabisa, achana na nick names hapa.
 
Ina maana maisha yote ulikuwa hujawai kuwa na rafiki wa kukidhi hayo mahitaji yako? ulikuwa unaishi wapi?
 
Hata mimi natafuta lakini ningependa kufahamu wewe ni wa jinsi gani?Kuhusu mawasiliano yangu nenda kwenye www.jubi.wordpress.com halafu katika sehemu ya search andika mawasiliano au contacts.
 
Jamani samahani ya very sory nilikuwa kwa kijiji ambako hakuna mtandau. Mimi ni kidume cha nguvu. Jamani bado niko very serious natafuta rafiki.
 
unatafuta rafiki wakike tu au mchanganyiko bila kujali umri na vingine vingine au!your not serious if your serious ungejieleza vizuri nahakika ungepata marafiki mpaka ukimbie. pole!!
 
sema vigezo vingi wewe, wenzako humu ndani huwa wanasema awe na mastaz (samahani siwezi kuandika hii naweza kuamka tu), asiwe amepita shule ya msingi ya serikali, awe hajawahi kuacha au kuachika, experience katika mapenzi miaka miwili will bi aded advantage, eeh vitu kama hivyo, ni mfano tu, unaweza tu ukapesti kwenye maombi yako.
 
Ahsanteni kwa changamoto za challenge. Imani yangu ni kwamba vigezo nilivyoweka ni kwa ajili ya kupata rafiki mwenye marafiki wenye vigezo. Hata hivyo mashambulizi niliyopata ni changafire kwa upande wangu. Anyway hakijaharibika kitu. Ntatoa ufafanuzi zaidi kama ifuatavyo:

Sifa

1. Kama zilzotajwa hapo awali.
2. Kwa wanaume
(a) awe na busara pamoja na uwezo wa kuvumilia maoni ya wengine hata kama
hayapendi.
(b) Awe mzalendo kuanzia katika ngazi ya kijiji hadi Taifa
(c) Awe social na mpenda ukweli.
(d) Asiwe na hasira angalau zisizozidi nyuzi 5
(e) Apendae kujitolea na asiwe kama viongozi wa Tanzania ambao wanahubiri
wasichokiamini kwani hawawezi kujitolea hata kuweka kifusi cha kuelekea kwenye
mahekalu yao ya Mikocheni.
(f)Awe mpenda michezo
3. Kwa akina dada
(a) Mcheshi lakini sio kicheche
(b) Muumini wa ukweli
 
quite entertaining!

Je:
una sura ya kuogopesha watoto?
una dini?
unaifuata?
una kazi?
unaifanya?
una rafiki mwingine?

na haya machache:

una busara pamoja na uwezo wa kuvumilia maoni ya wengine hata kama
huyapendi.
Ni mzalendo kuanzia katika ngazi ya kijiji hadi Taifa
Ni social na mpenda ukweli.
Una hasira angalau zisizozidi nyuzi 5
upenda kujitolea? na siyo kama viongozi wa Tanzania ambao wanahubiri
wasichokiamini kwani hawawezi kujitolea hata kuweka kifusi cha kuelekea kwenye
mahekalu yao ya Mikocheni.
unapenda michezo
Ni Mcheshi
Ni Muumini wa ukweli

Hayo machache yataniwezesha kuamua
 
Unatafuta rafiki au mpenz? acwe kicheche?inahusiana vp na rafk au ita kucost vp?
 
Kaka ina maana hapo mtaani kwenu hakuna rafiki anayekidhi vigezo uvitakavyo wewe, come on u can't b serious..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom