Natafuta rafiki wa kuchart nae.

Natafuta rafiki wa kuchart nae.

ASIKARI

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
92
Reaction score
22
natafuta rafiki wa kuchart nae, kubadilshana nae mawazo pia.
 
Kuchart c ndio kama hivi au we unataka kuchatije?tupo kibao na tumejaa tele, marafiki wa ukweli!
 
Endelea kutafuta mkuu tupo milion zaidi ya 45 huwezi kukosa.
 
Huyu anatafuta mtu wa ku-chart naye....sio ku-chat
Umeona mkuu? Swahiba anataka ku-chart watu wanamzodoa. Ndo mazoea ya Chit Chat haya.

BTW leo tupo hapa panahusika? Mi nshambuku Paloma, we nakuachia Zion Daughter u-chart nae.
 
Last edited by a moderator:
Hvi haya maisha yalvo magumu kiasi hki,wewe mwenzetu huo muda wa kuchati hovyo kama taahira unaupata wapi?
 
Anataka ile kuchat ya kwenye PM!
Msaidie kwa niaba ya JF please,si unajua mwaka huu DIV 0 nyomi?!ebu kampunguzie mawazo.

mkuuu nipo chuo..mwaka wa pili sasa...o level na advanced level zote matokeo yangu utayapenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom