Natafuta rafiki wa ku chart nae jamani....

Natafuta rafiki wa ku chart nae jamani....

ok! usijali Lady doctror tena nakupa chenye 4D

sasa hivi nampata live bila chenga ila analogy lazima nitarudi mfundishe aniandikie barua ya makopa na mishale may be hapo anaweza kunipata kirahisi
 
Last edited by a moderator:
sasa hivi nampata live bila chenga ila analogy lazima nitarudi mfundishe aniandikie barua ya makopa na mishale may be hapo anaweza kunipata kirahisi

ah ah! Old is gold bana... umenikumbusha mbali Lady doctor hapa nimebaki najichekea
 
Last edited by a moderator:
hata mimi naona hiyo course ume graduate peke yako but kaongezeongeze basi kaelimu hata kidogo au kaibe kile cha rafiki yako naona yeye angalau anaka degree then uje upya

ngoja nifuatilie kama oxford wanatoa degree za stress management ili nikapige shule. Maake inaonekana ntakuwa na kazi ya ziada
 
ngoja nifuatilie kama oxford wanatoa degree za stress management ili nikapige shule. Maake inaonekana ntakuwa na kazi ya ziada

hehehee... Yaani hapohapo ndio nilikuwa ninalenga ukishahitimu tu tunafunga pingu za maisha

copy: manoah
 
Ighondu ni jamaa yangu sana kwa taarifa yako.... Heshima yako mkuu!
mzima wewe? mpe hi our dear Paloma

zimefika kwa mahabuba wangu Paloma.. yuko hapa kitandani hataki kuamka.. anataka tuendelee kuwa kwa bed mpaka jioni.. ucishangae ukimuona shemeji yako :mimba:.. hatutaki utani sie manoah..
 
Last edited by a moderator:
dadi heshima yako..! mtoto wa mama anendeleaje? mimisa mie simtambui na hayumo katika empire yangu

kwa sababu nilikua nje ya mji na wewe umemtupa mkeo??
 
Last edited by a moderator:
hata akipotea lazma tu atarud kwake!! Mie ujirani na mtu siutaki kabisa mume wangu......mwenyewe unajua jinsi nilivyo na wivu! Lol

hahahaaa... Ondoa presha mama hapa anacheza hide and seek na nimejificha mbali sana sijui kama ataniona.

Copy: king kan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom