Natafuta rafiki wa ku chart nae jamani....

me bado sijatoka analojia we tuma tu nione kama utakidhi vigezo lol.

mbona nimetuma tayari. Da naona hapa kazi kweli kweli ngoja nikupe sifa moja wapo ya ukweli nna diploma ya friendship management na nina certificate ya caring and appreciation science. Hapo bado tu
 
Mmm... Hapo bado hebu rudi tena darasani
 
mbona unanifanyia hivi au nitaje wingi wa vyeti? Maana bongo nchi îshachakachuliwa vyeti vingi ndo unaonekana umesoma? Enzi zetu shule hazikuwepo nyingi îla hiyo course ni mimi tu ndio nimegraduate.
 
you love your mamamdogo? Ati unauliza kama dadi yupo au hayupo, Nimepata wasiwasi na ile kesi ya kikao cha familia.

king kan kwani kumpenda mama yangu mdogo ni kosa? Dadi nimeuliza kwasababu maalumu
 
Last edited by a moderator:
mbona unanifanyia hivi au nitaje wingi wa vyeti? Maana bongo nchi îshachakachuliwa vyeti vingi ndo unaonekana umesoma? Enzi zetu shule hazikuwepo nyingi îla hiyo course ni mimi tu ndio nimegraduate.

hata mimi naona hiyo course ume graduate peke yako but kaongezeongeze basi kaelimu hata kidogo au kaibe kile cha rafiki yako naona yeye angalau anaka degree then uje upya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom