Natafuta rafiki wa ku chart nae jamani....

Natafuta rafiki wa ku chart nae jamani....

mkuu heshima kwako pia, huyu Lady doctor sijui anataka nipange foleni ya interview. Au anataka ntume barua ya maombi wakati tulishatoka analojia.

me bado sijatoka analojia we tuma tu nione kama utakidhi vigezo lol.
 
Last edited by a moderator:
Mchart data gani na muke ya mutu manoah..? Wantafuta eeh..! Ntakutafutia Ramadhani ighondu wa ikulu akung'oe kucha hizo..

Ighondu ni jamaa yangu sana kwa taarifa yako.... Heshima yako mkuu!
mzima wewe? mpe hi our dear Paloma
 
Last edited by a moderator:
fuata yale anayo hitaji, ili muelewana.... ukiwa mgumu hutofika popote mkuu king kan

bora hata umemuambia Manoah, yeye ananitongoza kidigitali wakati mwenzie sina hata king'amuzi lol.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom