Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Hizo sifa ninazo lakini unataka kunikabidhi moyo wako niupeleke wapi? UFAFANUZI tafadhali

kama hujaelewa hiyo statement, automatically umekosa sifa. We unaonesha utakuja kunisumbua badae. Hakika sikuwezi mie,,,
 
NJOO DDC KARIAKOO JIONI,:clap2: ULE UPANDE WALIOKUWA WANAUZA KIBUKU ZAMANI ,MARAFIKI TUPO:clap2::clap2::clap2::clap2:
 
yani mie mwenyewe nakaa kwetu sa si itakua balaa hiyo

du itakuwa ngumu sana kwangu, maana nilikuwa natafuta mwenza mdogo ambaye anamiliki acommodation yake, mi nina mke na watoto, sitaweza mudu kulipia nyumba nyingine (haujasema kama tuliooa tusiingie kwenye kinyang'anyiro ulichotangaza, am I correct?).
 
Fisi wameona mzoga yaani ni balaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
baada ya kutumika sana na kutelekezwa umekuja hapa jamvini kwa style nyingne kuwakamata waume wa watu.
 
Hivi kwenye bandiko sijaandika waume wa watu hawaruhusiwi......

watoto siyoshida as long as mama yao haupo nae yan mumeachana

Haujaandika bhana, kwa hiyo mimi ni mume wa mke mmoja na watoto 10. Nina uzoefu wa ku care, kusocialize. Nipe nafasi kwani siji kujifunza bali kukupatia kile ulichokikosa.
 
baada ya kutumika sana na kutelekezwa umekuja hapa jamvini kwa style nyingne kuwakamata waume wa watu.

Hahahahahahaha,

Mkuu ushapigwaga changa la macho nini?

mana naona kama unajibu kwa experience vile. Any ways wewe ndo wale ambao wanakariri na hivyo automatically umekosa hii nafasi.
 
Habiri wakuu,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)

Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.

Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.

Karibuni

Je?uko tayari kuolewake wa pili.
 
Mimi nina miaka 40, nina sifa zote lakini naonja kinywaji kidogo, je nina nafasi yoyote hapo?
 
Hahahahahahaha,

Mkuu ushapigwaga changa la macho nini?

mana naona kama unajibu kwa experience vile. Any ways wewe ndo wale ambao wanakariri na hivyo automatically umekosa hii nafasi.
Achana naye. Nijibu bibie mwenzio nasubiri..
 
Habiri wakuu,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)

Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.

Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.

Karibuni

Hivi 'rafiki wa kiume' ndo 'boyfriend' eeh? me nakushauri tafuta 'mpenzi' ndo umukabidhi moyo wako, sio kumkabidhi 'rafiki' ambae inawezekana tayari keshakabidhiwa moyo na mwandani wake. Otherwise, kuwa muwazi tu kuwa unatafuta 'bwana' musaidiane 'mambo mbali mbali'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom