Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Moderator kwanini msiweke uzi kwa watu wa style hii? Halafu Display Name ukiwa huwezi kutafuta mwenzi katika mazingira yanayokuzunguka ujue una tatizo. Wenzi wa mtandao wenye sifa hupatikana kwa nadra sana.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni saizi yangu we ni PM tu tukutane nikupetipeti toto
 
Mmmmh serious!! we ucpate shida ya ku-send hyo private message, nipandie kwa hii +255712434148
 
Moderator kwanini msiweke uzi kwa watu wa style hii? Halafu Display Name ukiwa huwezi kutafuta mwenzi katika mazingira yanayokuzunguka ujue una tatizo. Wenzi wa mtandao wenye sifa hupatikana kwa nadra sana.

jamiiforum ndo mazingira yanayo mzunguka. ebu toa sababu nyingine
 
Last edited by a moderator:
nina sifa zote tatizo hapo kwenye kukabidhiana moyo
 
Habiri wakuu,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)

Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.

Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.

Karibuni

kubadilika as per mazingira yaliopo... heheheee wanawake wa siku hizi yaani hadi raha walahi.
 
weka namba zako pia weka picha yako hapo

akiniPM ndo nitamtumia namba na picha. katuanza kwa thread, basi hata huko PM atuanze pia. tena mie nina hiyo character anayoitaka ya ''kubadilika kulingana na mazingira'', yani huwa sikawizi. teh teh teh
 
mi kama wewe mzee nikimpigia kesho nataka mamboooo ila mwanangu napenda sana mkia upoooo
 
yaan huwa hukawizi' wew una hatari,embu cheki nami ww mrembo,ila ningependa kufaham unafanya shughuli gani
 
Ushaolewa? au bado hauna mume? kama umeumbika vizuri nyuma, karibu pm mdada nikupe mtaji wa biashara.
 
mi kama wewe mzee nikimpigia kesho nataka mamboooo ila mwanangu napenda sana mkia upoooo

yap bro. mwanamke mwenye 'mkia' ana mvuto sana. me mwenyewe napenda sana mwanamke dizaini hiyo.
 
najua lazima utakuwa unamjua mmoja mwenye mkia wa kufa mtu nipe namba zake mzee,nimgongee
 
Habiri wakuu,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)

Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.

Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.

Karibuni

ushampata????
 
Umepata! Elimu yako na Occupation yako Tafadhali!!
 
Pole kwa kuchoka upweke. Natumai utampata umtakaye ila ukubali kuwa katika mchakato wa kumpata watakuja na wakorofi. Kama alivyosema mdau mmoja hapo juu itabidi ujue kuchambua chuya ktk mchele na kuziweka pembeni. Kila lakheri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom