Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

  1. Je uko tayari nihamie kwako ili nimalize huo upweke wako?
  2. Je tutawowana kwa miaka mingapi? (kwa sababu haiwezekana kupendana for life)
 
Sifa zote unazotaka ninazo lakini nina kibamia sijui kama nitakufaa.

Dah! mtihani huo..... lakini kuna usemi usemao kwa kingereza lakini "something is better than nothing"

poa tuuu
 
  1. Je uko tayari nihamie kwako ili nimalize huo upweke wako?
  2. Je tutawowana kwa miaka mingapi? (kwa sababu haiwezekana kupendana for life)

jibu la swali la kwanza,,, yani mie mwenyewe nakaa kwetu sa si itakua balaa hiyo

jibu la swali la pili,,, mi siwezi jua ntakupenda hadi lini. We njoo tuangalie tutapendana hadi lini.
 
Sifa zote unazotaka ninazo, na pia ziada ya hapo kwani ninauzoefu wa kuwa na mwenza kwa miaka mingi. Nina mke na watoto.

Kwa hiyo ni PM.
 
Habiri wakuu,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)


Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.

Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.

Karibuni

Wewe binti unatangazia nyang'au minofu? Watakuliza sasa hivi!
 
Hizo sifa ninazo lakini unataka kunikabidhi moyo wako niupeleke wapi? UFAFANUZI tafadhali
 
Sifa zote unazotaka ninazo, na pia ziada ya hapo kwani ninauzoefu wa kuwa na mwenza kwa miaka mingi. Nina mke na watoto.

Kwa hiyo ni PM.

Hivi kwenye bandiko sijaandika waume wa watu hawaruhusiwi......

watoto siyoshida as long as mama yao haupo nae yan mumeachana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom