Faithcolly
Member
- May 30, 2013
- 31
- 10
If u want to be honest be true!
Mim hapa, ila umri wangu dah!
Nakutakia kila la heri katika utafutaji wako wa rafiki
NB epukana na matapeli,,,,Granted ones!!
Naona fesibuku yako imenona...
Dada ni rafiki tu au rafiki mchumba naomba ufafanuzi tafadhali
ungeweka tu hapa picha yako. najua nitakufaa. ni PM tu.
usiogope I'm single, I want to be double
Dada lkn hujafafanua kama una watoto??na pia rafiki tu wa kuspend life au serous relation??elimu yako? but even me need a wife serous .im in that age .but before of every we need to check HIV test
Sieezi weka mambo yt hadharani if u like to be wet me let us chat through fb y unakimbilia HIV test wkt hatujuani na niurafiki tu ndo niutafutao kwanza jiAmini banaDada lkn hujafafanua kama una watoto??na pia rafiki tu wa kuspend life au serous relation??elimu yako? but even me need a wife serous .im in that age .but before of every we need to check HIV test
Hee hata mi namshangaa au undo kujilinda hahahagayaani kaka una haraka kweli,
hata huo urafiki haujakubaliwa,
tayari ushaanza masharti yako ya kupima HIV, weye vipi?
kwa hiyo mimi ambaye siyo mfanyakazi wala mjasiliamali sina nafas eee?