I like it but l am married
Siko honest kivipi wakati nshakuchungulia FB na mawani yako? We u mrembo wa haja asikuambie mtu.
Hujajibu swali langu, urafiki unaoutaka hauna mipaka hata kwa mimi niliye na mke?
Najijua najitambua Niko OK urafiki uko wa aina nyingias long una mke utakuwa wa kaka na dada hauna mipaka
Punguza ukali basi mama. Twende mdogo mdogo.
Haikuhusu relation ship yangu huijui na nani
c ndio hapo sasa shangaa, wakat 2po ndan ya sample, we hav equal chance 2b selected at randomlySasa kwa sisi tusio na kazi je?
Hatufai kuwa rafikizo?......lol!
c ndio hapo sasa shangaa, wakat 2po ndan ya sample, we hav equal chance 2b selected at randomly
Y niogope? If u r serious follow me in fb
Uxiusemee moyo wangu kuwa na marafiki wengi we kunakupa shida mbona unakiherehere name maisha ya wenzako niwe desperate au nisiwe unawashwa na mini mbona we na yako umeyakalia
Hahahshh so kihivyo huwezi nipangia kuwa we ndio unanifaa lol
Usishangae may be so chaguo langu