Wazee wa Ilonga Msalabani,Msimba,Pea pea,Betty Mitchel,Kibaoni,Gongoni,MagwelegweleKaribu hapa Kilosa ,Ilonga Chuo Cha MATI karibu na Secondary ya Mkono wa Mara.
Naona unajikaribisha Chiwawa 😹Karibu pm yangu
Wanapenda kitonga balaa..Kuna siku kitawalamba wanaume wenye uchu humu..!! 😹
Hahahaaa karibu Ilonga msalabani hapa.Wazee wa Ilonga Msalabani,Msimba,Pea pea,Betty Mitchel,Kibaoni,Gongoni,Magwelegwele
Hapo nilikuwa lazima nisimame kutoa hi kuna wanangu sana. Mkeka saizi umefika wapi mara ya mwisho ilikuwa Rudewa darajani.Hahahaaa karibu Ilonga msalabani hapa.
Umefika hadi kilosa town.Hapo nilikuwa lazima nisimame kutoa hi kuna wanangu sana. Mkeka saizi umefika wapi mara ya mwisho ilikuwa Rudewa darajani.
Hapo vijana wa magari na bodaboda watakuwa wanakimbia kama vichaa. Mzee Kwembe Trans bado yupo na Balloteli TransUmefika hadi kilosa town.
Huku kakamata sana Alisayeed.Hapo vijana wa magari na bodaboda watakuwa wanakimbia kama vichaa. Mzee Kwembe Trans bado yupo na Balloteli Trans