Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume mwenye heshima, maelewano na nia nzuri. Nipo Morogoro, karibu tujuane na tujenge urafiki mzuri. 😊
Mwanaume tu au rijali? Liweke sawa kwanza hili
 
"Sihitaji, marafiki,
Marafiki siwahitaji,
Sihitaji, marafiki,
no! no! no! 🎵🎶
 
Mbona kama dume hilo, na mnavyotiririka kumkaribisha
 
Natafuta rafiki wa kiume mwenye heshima, maelewano na nia nzuri. Nipo Morogoro, karibu tujuane na tujenge urafiki mzuri. 😊
Usituchezee akili zetu. Wewe siyo mwanamke.
 
Natafuta rafiki wa kiume mwenye heshima, maelewano na nia nzuri. Nipo Morogoro, karibu tujuane na tujenge urafiki mzuri. 😊
Kwa sababu hukutaja umri ,,,nimeona nijitokeze,,,mie ni mbabu mbabu hivi,,,halafu kimtindo nishaacha mambo ya kihuni,,,kwa hiyo usitie shaka,,,,,
HAPO VP?
 
kuna mitego mingine haihitaji macho ya rohoni kuijua just macho ya damu na nyama unajua kuna kitu kinatafutwa hapa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…