Natafuta rafiki wa kiume

Tupe sifa zako kwanza.

Una kiuno nyigu?
Una msambwanda?
Guu la bia?
Ziwa konzi yaani Lile saa sita?
Macho ya goroli? na meupe
Sura ya mviringo?
Nywele za Masai?

Una shahada ngapi?
Una kazi?
Una gari ?
Una Nyumba?
Una mtoto?
Dini yako?

Jibu hayo Wana wajimwaye mwaye, isije ikawa mtu anaokotwa dodo chini ya mpapai
Tayari ni dodo chini ya muharobaini 🤣🤣🤣 vyote Sina 😢😗
 
Mimi mrefu mweusi nna ndevu kiasi pesa kiaina ila sijasomea afya ila afya ninayo
 
Kuepuka usumbufu usio wa lazima, na wewe ungeweka za kwako ili atakayeamua kukuPM asiwe na maswali zaidi.
 
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Elimu ()
Nahitaji rafiki wa kiume(kaka)
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya,
pia awe mweusi na mrefu,
awe mcheshi na mchaMungu,
awe hajaoa.

Mwenye sifa Ani PM
Afya imegawanyika, fafanua.
Pia waweza tuma na picha zako 😌
 
Duh! Vigezo vyooote ninavyo.. lakini nashindwa kuelewa hapo kwenye rafiki/kaka af pia asiwe ameoa.
Anyway, mechi bado mbichi.🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom