BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,020
halafu watakwambia pesa sio muhimu kwenye mapenzi lol
Kule Hollywood watu wana pesa mpaka kukufuru lakini mapenzi yao huwa hayadumu kwa muda mrefu pamoja na mapesa mengi waliyokuwa nayo watu ukiondoa wachache ambao mahusiano yao yamedumu kwa kipindi kirefu wengi wao huwa hayana maisha marefu. Kwa hiyo kama ngawira ni muhimu kwenye penzi basi watu wa hollywood mapenzi yao ndio yangekuwa yanadumu kwa muda mrefu zaidi.