natafuta rafiki wa kiume wa ukweli

halafu watakwambia pesa sio muhimu kwenye mapenzi lol

Kule Hollywood watu wana pesa mpaka kukufuru lakini mapenzi yao huwa hayadumu kwa muda mrefu pamoja na mapesa mengi waliyokuwa nayo watu ukiondoa wachache ambao mahusiano yao yamedumu kwa kipindi kirefu wengi wao huwa hayana maisha marefu. Kwa hiyo kama ngawira ni muhimu kwenye penzi basi watu wa hollywood mapenzi yao ndio yangekuwa yanadumu kwa muda mrefu zaidi.
 
mimi ni mdada nina miaka 29 ninatafuta rafiki wa kiume mwenye sifa zifuatazo.1 miaka 33-372 mkristo3 awe financial stable4 mpole kiasi asiwe anachonga sana5 asiwe muhaya6awe na roho nzuri huruma upendo uvumilivumimi ninafanya kazi dar so akiwa wa dar itakuwa poa zaidi
Kwa nin hauwataki wahaya? Wahaya wanakasoro gani kwako?
 
We mweu kweli, hautaki mhaya! then unataka mtu mwenye pesa! haujui kama wahaya ndo mabepari? inaonekana wewe n mfanyabiashara ndo maana mpaka sasa haujaolewa na hautaolewa kama unaleta mambo ya ukabila. mbona wewe haujataja kabila lako? mkabila mkubwa wewe, na utaendelea kuzeeka tu bila kupata mme, mweu mkubwa.
 
huo urafiki wa masharti nani anautaka?hata ungekuwa uchumba.ubaguzi ndo unakufanya ukose rafiki wa kweli.pole sana.mia.
 
sasa ukishampata huyo aliye financially stable siku aki-run bankrupt ndo inakuwaje sasa? maana sifa hiyo itakuwa imetoweka kwenye preference list yako!
 
mimi ni mdada nina miaka 29 ninatafuta rafiki wa kiume mwenye sifa zifuatazo.
1 miaka 33-37
2 mkristo
3 awe financial stable
4 mpole kiasi asiwe anachonga sana
5 asiwe muhaya
6awe na roho nzuri huruma upendo uvumilivu
mimi ninafanya kazi dar so akiwa wa dar itakuwa poa zaidi

Ni mtazamo mzuri sana, nakutakia mafaniko mema.
 
nakutakia mafanikio mema,ila jamani kwani wahaya wana kasoro gani? 29 bado kigoli kabisa,utampata tu.ila kwa jf sijui,maana unaweza ukatendwa.w.ke tunakuwa serious ila w.me huwa wao hawapo serious
 
unataka kumchuna au? Kama sio ni pm. Mimi ni mwanafunzi niko arusha nasoma shule ya msingi naura la 6b ka vp i can b ua friend.
 
nakutakia mafanikio mema,ila jamani kwani wahaya wana kasoro gani? 29 bado kigoli kabisa,utampata tu.ila kwa jf sijui,maana unaweza ukatendwa.w.ke tunakuwa serious ila w.me huwa wao hawapo serious

hapana usimkatishe tamaa. hapa ukumbini anawezapata mwenza
afanye subira tuu. pia asikereke na madongo atakayopigwa achukulie kuwa
ndio mchakato wenyewe umeanza
 
unyaelesea vp maisha ya kueleweka. Kama sio kulenga mtu mwenye manoti yake? Ama kweli bila ya pesa mapenzi hamna.....!
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom