Natafuta rafiki wa kiume Mkristo miaka 35-42

Natafuta rafiki wa kiume Mkristo miaka 35-42

Sifa zake: 1. Awe mkristo,anamwogopa na kumheshimu Mungu. 2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi) 3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana) 4. Awe Mweusi au maji ya kunde 5. Awe na miaka kati ya 35-42 6.Asiwe na HIV na awe tayari kupima

Sifa zangu: 1.Mkristo,nampenda Mungu na kumuheshimu 2.Ninajitegemea,si tegemezi 3.Mimi ni mweusi,weusi wangu ni mwororo,umbo namba nane,nywele ndefu,msafi,najipenda. 4.Kimo changu ni 5 4" 5.Miaka ni 38 6.Mchangamfu 7.Sina HIV na nipo tayari kupima

**Anayefit,Anayependezwa nami hapo juu na Aliye serious aniandikie email iamgenevieve38@yahoo.com

Karibu
Mkuu Nitafute
0715-457061
 
Asante Tate, mimi ni outgoing sana,napenda michezo,napenda kushiriki mbio fupi/marathon events,kupumzika kwenye fukwe,kuangalia mpira, na mengine meengi. Umri wangu ni miaka 38 kama nilivyoainisha hapo juu.Thanks.
Umeanzia miaka 35 ujue hiyo ni shida. Bora awe 40 Na kuendelea. Ukimzidi umri subiri inferiority complex iichachafye ndoa yenu baada ya honeymoon
 
Naomba nimtetee muhusika amekuja kwa lengo LA kuomba ushauri.jamani
Topic husika haihusu kuomba ushauri.Anataka watu tufanye application ya Ku propose kumuoa wakat kwa huo umri wake Kama hajaolewa hadi leo inabidi awe mpole nasio kuleta masharti wakat ni inferior
 
Asante Tate, mimi ni outgoing sana,napenda michezo,napenda kushiriki mbio fupi/marathon events,kupumzika kwenye fukwe,kuangalia mpira, na mengine meengi. Umri wangu ni miaka 38 kama nilivyoainisha hapo juu.Thanks.
***
Nimekupenda uko fact na inaonyesha unamsimamo, GOODLUCK!
"tatizo kwangu ufupi tu"
 
...msimkatishe tamaa bana ....
unaweza wahi kuoa au kuolewa ikawa kero na majuto ....../ better late and get perfects bana ...
Nafahamu sana wengi mno mmo katika majuto makubwa ya ndoa zenu...
 
Hivi siku hizi vigezo vimechange?? Kutoka kwa wenye;
Magari
Nyumba
Pesa zao
Handsome
Mpaka wenye kazi halali( hata mzibua choo ni kazi halali), mweusi/maji ya kunde, si lazima mrefu, awe tyr kupima.

Enzi zako najua hivi vigezo havikuwepo kabisa.
 
Wanawake mnazidi kupata stress. Ujue znasababishwa na nini?
1. Kujitia mnataka haki sawa.
2. Ongezeko la jinsia ya kiume kufumuliwa malinda.
3. Ugumu wa maisha unaotufanya vidume kufocus kwa job.
4. Upatikanaji wa papuchi za bei sawa na bure.
5. Mnapokuwa bado wabichi mnalingia sana.

Ushauri wangu sasa;
1. Acheni kujisheua mnapokuwa bado wanono.
2. Acheni kujitia mnapenda sana usawa. Dini zote mbili ukristo na uislamu unamtambua zaidi mwanamme sasa ukitaka kwenda against ndo mwanzo wa kujitia stress.
3. Acheni kupenda wanamme wenye mshiko mrefu.
 
Umejiunga juzi juzi tu wewe. Nafikiri umekuwa desparate kupata kitu chako, ila nauliza tu ni kweli kwamba hujawahi kuwa na mpenzi wako? Tena watafuta rafiki tueleze unao wangapi hadi sasa hivi maana zenu ndio hizo. Wako watano, ikifika weekend kila mmoja anachangia 30,000 sawa na 150,000 X 4 = 600,0000 sawa na mshahara wa graduate.
 
Ungejaribu kubadili thread dada...huyu rafiki anayetafutwa kwa vigezo vingi hivi kama ajira.

Ungekuwa tj straight kama Monicca huenda ungepunguza kubezwa...hakuna ubaya kutafuta mme at your age.
 
....@gene38 wakirukaruka we tangaza una gari na nyumba uone kishindo cha mariooo!
 
Back
Top Bottom