Natafuta rafiki wa kiume Mkristo miaka 35-42

Natafuta rafiki wa kiume Mkristo miaka 35-42

....@gene38 wakirukaruka we tangaza una gari na nyumba uone kishindo cha mariooo!
CrocodileTooth, comments za humu yani nimeishia kucheka.Mimi ninavyojitolesha ,hivyo vyote ninavyo.
Kuhusu wao kuwa negative mimi hainisumbui,maana pia kuna walio very positive wamerespond inbox.
Anyway,thanks mkuu
 
Miaka 38.
Uliachika?
Unamtoto?


Mwaume ambaye hajaoa 42 si rahisi. Kuwa mke wa pili uko tayari?
 
Chezea kupima kirusi wewe dhubutuuu hana jeuri hiyo anakula kwa picha tuu bahati inampita hivi hivi
Akapime afe haraka.
Bahati ndo hizo....si hajaoa?
Akamuoe huyo bi dada hapo juu aone kama figisu majanga zake zitatulia.
kutwaaaaaa kutaka mijaruba.
Chezea kupima wewe....majibu unamuachia daktari
 
Samahani sijasoma komenti labda swali langu lili ulizwa

Sorry dada eti una mtoto maana sijaona kigezo hicho pale juu kwenye sifa zako
 
Asante Tate, mimi ni outgoing sana,napenda michezo,napenda kushiriki mbio fupi/marathon events,kupumzika kwenye fukwe,kuangalia mpira, na mengine meengi. Umri wangu ni miaka 38 kama nilivyoainisha hapo juu.Thanks.
Unaishi wapi?
 
Aisee gene38 urudi ujibu baadhi ya haya maswali muhimu uliyoulizwa na wadau:

Unatafuta rafiki au mume? umeshawahi kuwa kwenye mahusiano bila shaka yoyote; wamekuuliza je una mtoto/watoto wangapi?

Haya mengine naongezea; je, kwa muda wote huu ulikua unajishulisha na nini hadi uanze kutafuta rafiki sasa? je na hayo mazingira unayoishi hakuna kabisa mtu sahihi anaye kufaa!!! unaishi wapi weye?

Jibu hayo maswali kwanza ili utushawishi sisi akina tomaso.
 
Subiri watakuja na huenda ukampata mtu unaemtarajia. Ingawa nina hofu kidogo kumpata mtu sahihi wa umri huo akiwa single. Wengi tayari tuna familia. Ila huwezi kujua Mungu ni wa ajabu. Ukiwatajia na umri wako na hobby yako itawavutia pia.
Hofu yako kama yangu maana umri huo wengi wanakuwa wameshaoa; angeongeza vigezo kama mtalakiwa, mgane na mwenye m(wa)toto.
 
Ungejaribu kubadili thread dada...huyu rafiki anayetafutwa kwa vigezo vingi hivi kama ajira.

Ungekuwa tj straight kama Monicca huenda ungepunguza kubezwa...hakuna ubaya kutafuta mme at your age.
Jamani si wanaanzia kwenye urafiki, then uchumba na mwisho ndoa, au inakuwaje?
 
Jamani si wanaanzia kwenye urafiki, then uchumba na mwisho ndoa, au inakuwaje?

Ukitaka kuanzia urafiki huwa hakuna vigezo.

Angeenda straight to the point anatafuta mchumba..hapo unaweza kumwagika upendavyo.

Rafiki hana vigezo.
 
Sifa zake:
1. Awe mkristo, anamwogopa na kumheshimu Mungu.
2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi)
3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana)
4. Awe Mweusi au maji ya kunde
5. Awe na miaka kati ya 35-42
6. Asiwe na HIV na awe tayari kupima

Sifa zangu:
1. Mkristo,nampenda Mungu na kumuheshimu
2. Ninajitegemea, si tegemezi
3. Mimi ni mweusi,weusi wangu ni mwororo,umbo namba nane,nywele ndefu,msafi,najipenda.
4. Kimo changu ni 5 4"
5. Miaka ni 38
6. Mchangamfu
7. Sina HIV na nipo tayari kupima

**Anayefit, anayependezwa nami hapo juu na aliye serious aniandikie email iamgenevieve38@yahoo.com

Karibu
Kwa hiyo na hilo umbo lako namba 8, mpaka leo ulikuwa wapi hujaolewa na umri wa miaka 38!?

Ajab kabisa..!
 
Ukitaka kuanzia urafiki huwa hakuna vigezo.

Angeenda straight to the point anatafuta mchumba..hapo unaweza kumwagika upendavyo.

Rafiki hana vigezo.
Aaah Mentor bana, yeye anatafuta rafiki wa kiume ambaye mambo yakienda sawa ndo atakuwa mchumba then mume. Hivi Inawezekana mtu mkakutana tu na kuanza uchumba eeh, maana digitali mmmh
 
Back
Top Bottom