Natafuta rafiki wa kiume Mkristo miaka 35-42

Natafuta rafiki wa kiume Mkristo miaka 35-42

Sifa zote hizo ninazo
But natafuta kazi japo si tegemezi hata kidogo...am gentleman not a boy..naruhusiwa kuku email?
 
Sifa zake:
1. Awe mkristo, anamwogopa na kumheshimu Mungu.
2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi)
3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana)
4. Awe Mweusi au maji ya kunde
5. Awe na miaka kati ya 35-42
6. Asiwe na HIV na awe tayari kupima

Sifa zangu:
1. Mkristo,nampenda Mungu na kumuheshimu
2. Ninajitegemea, si tegemezi
3. Mimi ni mweusi,weusi wangu ni mwororo,umbo namba nane,nywele ndefu,msafi,najipenda.
4. Kimo changu ni 5 4"
5. Miaka ni 38
6. Mchangamfu
7. Sina HIV na nipo tayari kupima

**Anayefit, anayependezwa nami hapo juu na aliye serious aniandikie email iamgenevieve38@yahoo.com

Karibu
Samahani katika vipimo kuna kimoja kina urefu na unene....hiki hujakizungumzia.....
 
Ungejaribu kubadili thread dada...huyu rafiki anayetafutwa kwa vigezo vingi hivi kama ajira.

Ungekuwa tj straight kama Monicca huenda ungepunguza kubezwa...hakuna ubaya kutafuta mme at your age.
koplo umeongea kwa busara sana.
 
Aaah Mentor bana, yeye anatafuta rafiki wa kiume ambaye mambo yakienda sawa ndo atakuwa mchumba then mume. Hivi Inawezekana mtu mkakutana tu na kuanza uchumba eeh, maana digitali mmmh

Ndicho alichomaanisha.

Anyway tufanye hivi: mume/rafiki sio robot useme utataka la specifications zako upate.

Mtu wa kuishi naye ni nafsi sio maumbile.

Wenye ndoa waje hapa waeleze watu waliokuwa nayo vichwani kabla hawajapata walionao uone watakavyojibu. Most of the times ni kinyume kabisa.

Angetafuta tu marafiki bila vigezo then katika hao marafiki avhuje tabia angepata mchumba.

Ila kama ili work for Monicca, sishangai na yeye kuandika hivyo..ndo dot.com kizazi.
 
Ok issue ya urafiki tumeelewana

Kusema za ukweli mimi mwenyewe najiulizaga sana kuhusu haya matangazo. Maana vigezo vingi vinabase kwenye physical appearance zaidi. Sijui ni kwa sababu ni kitu cha kwanza kuonekana kwa mtu, ingawa kuna mtu anaweza akakuvutia kweli but mkikaa kidogo unaona hapa hatufiki popote. Na kuna mwingine ukawa hujavutiwa naye lakini unashangaa siku hadi siku kuna Vitu vingi sana vinavyokuvutia ndani yake, so unajikuta tu huyooo umenasika. Unaweza ukasoma tu tangazo ukalipotezea coz mtu kasema yeye ni mweusi and wewe hutaki mtu mweusi. Lakini as ulivyosema wengi wetu tunaishiaga kwa watu ambao hatukuturajia kabisa, kwa sababu tu ya vingi ulivyoviona ndani ya huyo mtu, so I think matangazo yangekuwa modified kidogo. Hahah itawork tu bana kama kwa monicca
 
Sifa zake:
1. Awe mkristo, anamwogopa na kumheshimu Mungu.
2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi)
3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana)
4. Awe Mweusi au maji ya kunde
5. Awe na miaka kati ya 35-42
6. Asiwe na HIV na awe tayari kupima

Sifa zangu:
1. Mkristo,nampenda Mungu na kumuheshimu
2. Ninajitegemea, si tegemezi
3. Mimi ni mweusi,weusi wangu ni mwororo,umbo namba nane,nywele ndefu,msafi,najipenda.
4. Kimo changu ni 5 4"
5. Miaka ni 38
6. Mchangamfu
7. Sina HIV na nipo tayari kupima

**Anayefit, anayependezwa nami hapo juu na aliye serious aniandikie email iamgenevieve38@yahoo.com

Karibu
unaweza post pivha ya kuanzia shingoni kuja chini(kichwa ni siri yako)
 
Sifa zake:
1. Awe mkristo, anamwogopa na kumheshimu Mungu.
2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi)
3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana)
4. Awe Mweusi au maji ya kunde
5. Awe na miaka kati ya 35-42
6. Asiwe na HIV na awe tayari kupima

Sifa zangu:
1. Mkristo,nampenda Mungu na kumuheshimu
2. Ninajitegemea, si tegemezi
3. Mimi ni mweusi,weusi wangu ni mwororo,umbo namba nane,nywele ndefu,msafi,najipenda.
4. Kimo changu ni 5 4"
5. Miaka ni 38

6. Mchangamfu
7. Sina HIV na nipo tayari kupima

**Anayefit, anayependezwa nami hapo juu na aliye serious aniandikie email iamgenevieve38@yahoo.com

Karibu
.

Haya majina huwa nayaogopa sana, ya sijui I am Brander, I am Genevieve, Sharon, Charlotte,.. Wengi hua ni pasua kichwa....
 
Sifa zake:
1. Awe mkristo, anamwogopa na kumheshimu Mungu.
2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi)
3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana)
4. Awe Mweusi au maji ya kunde
5. Awe na miaka kati ya 35-42
6. Asiwe na HIV na awe tayari kupima

Sifa zangu:
1. Mkristo,nampenda Mungu na kumuheshimu
2. Ninajitegemea, si tegemezi
3. Mimi ni mweusi,weusi wangu ni mwororo,umbo namba nane,nywele ndefu,msafi,najipenda.
4. Kimo changu ni 5 4"
5. Miaka ni 38
6. Mchangamfu
7. Sina HIV na nipo tayari kupima

**Anayefit, anayependezwa nami hapo juu na aliye serious aniandikie email iamgenevieve38@yahoo.com

Karibu
Duh! Mkristo mwenzangu,unamuamini MUNGU kweli na makuu yake?hzi sifa umetoa hapa unaamini MUNGU alikuumbia mume wa aina uitakayo?dah!
 
Wewe unampenda Mungu,
Muombe Mungu atakupa Mume,,
Tena bila matangazo..
Mungu ni mwema anajishughulisha sana na mambo yetu.. Just pray
 
Sifa zake:
1. Awe mkristo, anamwogopa na kumheshimu Mungu.
2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi)
3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana)
4. Awe Mweusi au maji ya kunde
5. Awe na miaka kati ya 35-42
6. Asiwe na HIV na awe tayari kupima

Sifa zangu:
1. Mkristo,nampenda Mungu na kumuheshimu
2. Ninajitegemea, si tegemezi
3. Mimi ni mweusi,weusi wangu ni mwororo,umbo namba nane,nywele ndefu,msafi,najipenda.
4. Kimo changu ni 5 4"
5. Miaka ni 38
6. Mchangamfu
7. Sina HIV na nipo tayari kupima

**Anayefit, anayependezwa nami hapo juu na aliye serious aniandikie email iamgenevieve38@yahoo.com

Karibu
samahani kuuliza sio ujinga pia uskasirike unatafuta rafiki istoshe mahitaji unayotaka ni ya mume nashangaa unatoa na mashart je nikaz hyo kama utamlipa mshahara
 
Ukiona mtu anatafuta mme/mke mtandaoni ujue hali yake sio nzuri kuanzia kisura hadi kiakili!!
 
Mi Nina sifa zote but kanisa ndio nimelipa mgongo since 2007.
 
cdhan kwa umri wako bado tu unafuta rafiki hayo ni mambo ya umri wa miaka 18-24 ww sema unatafuta mume au mzazi mwenzako mlee familia cdhani kama kuna mwanaume kamili nwenye miaka 35 nakuendelea hatakuwa hana mtoto au ajaoa kama bado mybe kuna ulazima wa kumwona dr mwaka
 
Nafikiri amesomeka vizuri sana, anatafuta rafiki wa kiume ambaye ameishajitambua ..
Sifa zote binafsi nakubalika, tatizo kubwa hapa sijajua urafiki utakuwa wa nia ipi?
 
Back
Top Bottom