Its possible mume/mchumba wako yuko mbali mfano nje ya nchi kimasomo au kikazi. Hii inakufanya uwe mpweke na hutaki kuvunja kiapo. Sasa basi, kumbuka huyo wa ukweli akijua hapatakalika. Chagua moja kunyoa au kusuka.
Masharti hayo lol!
Huyo mtu utaKUWA umemnunua, na si kampani ya hiari!
Unategemeaje mtu awe na mke, na kisha muda wote awe available kwako?
Sema unaongea kwa reverse kuwa unahitaji buzi!...huh!
nani anataka kujiumiza roho. Uanze kutoa denda kwa vibwana vyako mbele yangu eti kisa mi ni rafiki tu? nani atakubali kuwa bushoke eti kwa kuwa wewe msichana?. mara visimu,msg. wenye tabia kama hizi wengi wapo dar. kama vipi uje na bwana wako na mimi girl wangu. tumeshinda wote, usiku tunaenda club mara unaanza kucheza na mtu mwingine eti bwana ako, kwanini usishinde naye huyo huyo. Huo urafiki wa kipumbavu sifanyi. labda uwe urafiki wa kwenda wote kanisani. mimi sitaki labda mtafute SAINT IVUGA au KATAVI.
tukitoka, unaruhusiwa kuja na darling wako kama si mke wako. japo mie nitakuheshimu, i'll be alone always.
Sifa za umtakae ushazitaja,
Zako je?
Binafsi nina miaka 31 so najitoa!!!
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.
Asante kwa ufafanuzi. sasa kwa kuwa umetueleza sifa za unayemtaka kuwa rafiki, unaonaje kama utatudiokeza na sifa zako wewe, ili nifikie uamuzi wa iwapo niku-PM au laKusadiana ni aina nyingi, hata kwa mawazo ni msaada wa kutosha. umekwama au nimekwama financially, being good friends, kwanini tusisaidiane.
Wee lazima utakuwa mchaga,sasa motokari inahusu nini,hapo baadae utaedit na kuandika ng'ombe wa maziwa,kabati ya mbeho na blanketiii!!!Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.
weka picha yako kwanza, tusije tukaingia kichwa kichwa.
kama ana uwezo wa bajaj kama si taxi poa. most important tusisumbuane kupeana lift kila wakati.