Natafuta rafiki wa kiume company tu

Mi nipo karibu sana maadhali, tutasaidiana na kupeana pale inapotokea shida,tegemea kabisa kua si kwa ajili ya mapenzi kama ulivyosema,ni pale nnapojisikia tu ndo waeza kunisaidia sio kila siku kwani naamini sitokua na shida hio kila siku! Urafiki wetu utaendelea bila shaka yoyote
 
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.
Naogopa unaweza ukawa dume jike.
 
si useme kuwa umeachwa kiaina, sasa unataka to show ur X that is nothing coz unapendwa haraka. Umeshindwa nini kupata mume barabarani, nakushauri uende bar utakuta wanaume wenye msongo kama wako mtasaidiana kama utakavyo. Jigjig hai:yo::frusty:kwepeki hata kama mke wa mtu, kibaka we
 
Huna haja ya rafiki,shida yako unataka utolewe out,sifa zote hizo za nini,muangalieni huyu anatafuta kuchuna tu!
 
Mtu makini mwenye akili timamu na fikra pevu hawezi kuleta utani katika kitu cha maana, jamani kwa ambaye hayoku tayari kuliko kuanza kuandika utani na kwenda nje ya mada mngenyamaza,mwenzenu anashida hivyo anataka aliyeko tayari wawasiliane.
Kama huna vigezo mpotezee
 
urafiki cku hizi unachagua hadi umri!! tusio kuwa na magari ndo ishakula kwetu bhaaaaaaaana
 
Natafuta rafiki wa kiume, company tu nothing much. akiboreka and needs my company nitakuwepo na mimi nikiboreka nikimuhitaji awepo. ila strictly no jigjig. rafiki wa ukweli kama wa kike vile. muhimu tunapeana misaada ya mawazo. tunasaidiana kwenye shida n.k.
sifa za huyu friend.
- awe na kazi na kipato kizuri, sio tukitoka for a drink basi kutwa bill ikija ndo mkojo unambana
- awe ameajiriwa ofisi yenye kueleweka, sio mission town.
- hata akiwa na mke poa tu maana most important ni normal friend
- umri from 35 kuendelea.
- pamoja na kwamba ni normal friend lakini akiwa good looking kidogo itapendeza zaidi hata tukitoka sitajisikia vibaya kua nae.
- akiwa na motokari pia itakua poa zaidi, ili kila mtu ajitegemee tunapopanga kukutana.
- awe flexible nikihitaji company yake kwenda mahali sio aanze za kuleta, "mama imekua hivi au vile"
msinitoe roho jamani, sitaki company ya mwanamama nina sababu zangu.
Kama uko interested, ni PM tafadhali.

Hivi umefulia!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom