Natafuta rafiki wa kike

Mwonekano mzuri wa sura, umbo (awe na chura)??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Waache kwenda kudanga kwa mawaziri huko waje kwako unayelia lia asiwe anapenda hela[emoji23][emoji23].
Kila la kheri
 
Kila La kheri mkuu.
 
Cute B..... mweeee! Yamkini wapo ambao hilo siyo kipaumbele.
 
Mkuu me Niko tayari
 
Wewe chura unao wangapi?
 
hahaaaaaaaaa, siyo kwa makavu haya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…