Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,352
- 27,996
Kwani wale wanaoweka matangazo wanatafuta wanaume siyo issue ya kawaida?Mkuu natafuta rafiki mbona ishu ya kawaida
Wewe unatafuta wanawake pia ni issue ya kawaida.
Wote mnajiuza mtandaoni.
Kwani wale wanaoweka matangazo wanatafuta wanaume siyo issue ya kawaida?Mkuu natafuta rafiki mbona ishu ya kawaida
Ukipata wengi, usiwasahahu waio naoNatafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume wa miaka 28, Nina stashahada ya ufundi mitambo, nipo dar es salaam, Mbezi. Tutakuwa tunabadilishana mawazo ya maisha. Namba ya simu 0756704145
Sasa mkuu unanifananisha na wale ...... Mkuu jamiiforums ni Great thinkers tunakutana kwanini tusiwe marafiki kama facebook tuKwani wale wanaoweka matangazo wanatafuta wanaume siyo issue ya kawaida?
Wewe unatafuta wanawake pia ni issue ya kawaida.
Wote mnajiuza mtandaoni.
Unakibunda ?Marafiki wakike kupata jamiiforums kazi....hawapatikani mpaka Sasa
weye hutaki enda msalimia kwakeNgoja waje mkuu