Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

Mtoto wa mtu atalishwa chinese na mchicha hadi afe
Sifikirii kupata mla nyama ili nimbadilishe asile nyama. Wengine mnachelewa kuelewa. Wapo watu hawali nyama, ndo ninataka hao,na hataona vibaya kula mimea mpaka kufa kwa sababu ni culture amekuwa nayo,wewe unayekula nyama isikusumbue
 
Kuna mmoja hapa hali nyama.
Lakini anafuga rasta na mavyuzz mwaka wa 6 huu hajanyoa.
Kama anakufaa sema akuPM.
 
kuna rasta mmoja hapo arusha alikua ananipa darasa eti kwa nini ule kuku wakati kuna yai,kwanini nyama wakati kuna maziwa

mbaya zaidi akanambia eti uyoga ni kama nyama tuh aisee nilimcheki nafikiri anatatizo la ufahamu yani ufananishe mnyumbuliko wa nyama mdomoni na uyoga
 
Hujajibu swali la bhangi, vp unahitaji awe mvutaji? Isije ikawa hallucinations za cannabinoids ndio zinaongea?
 
cannabis hempt plantaeeeeee
download (14).jpeg

Nenda kwenye vijiwe vya hii kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom