Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

All the best mkuu
Screenshot_20250621-163009~2.jpg
 
Kuna mshangazi hapa Lamomy na single mother Kapeace
Kaz kwako ila Lamony sura ya babu.
😹😹😹 Kwa taarifa yako babu yangu ana asili ya Germany, najua ushapata pic nafananaje..!!
vipi lakini leo utaenda kitambaa cheupe?
Kuna muwekezaji nimekutafutia beautiful boy najua unammudu na ulivyo mcute aweee Mashallah 🤣
 
Aaah ata aibu huoni, wewe ujeruman uupatie wapi ndugu yangu?
Af mi naenda night clubs kubwa za maana sio uswazi, uku nikiongozana na pisi moja matata sana. Ukimuona mke wangu wewe utaomba ukabebe zege tu.
 
Sasa unalia nini beautiful boy 😹😹
Kwahiyo umeumia kusikia nna asili ya udutchin pyeeeee..!! Hatufanani choko wewe..!!

Sasa ulivyolegea hivyo hiyo pisi unaongozana nayo ili ikusaidie kukupasia madanga au? 😹
Taja dau lako basi kuna bwana hapa kakuelewa nimemuonyesha pic yako 🤣
 
Acha matusi dogo, rafiki yako cocastic juzi ameniona amecoment amelegea, sasa akiniona live? Itakua wetland… am more that a gentleman
 
Wee kidampa, em acha kunichokoza?
Nilegee kwa kipi pale? Ile rangi? Ambayo nimekuzidi na mie nimezaliwa nayo?

Nilishakuambia, tafuta mabwana kivyako, nimeshavuka huko kwenye ukuwadi.
Mxxxiiiiieeeew.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom