Natafuta Rafiki, Mchumba

mh jamani black is not good kwa kweli.
Nowadays black men want white look-alike woman. Mh kazi mnayo wadanganyika, ukoloni mnao mpaka kwenye damu zenu. inasikitisha sana kwa kweli pale mtu anapoona weupe ni kitu cha muhimu sana katika mwanamke?
Je hao wanawake weupe watoke wapi jamani?kama baba zao ni weusi?
Hii ina-send what message to young women in Tz? Kuwa weusi ni ubaya?
think hard
 
Haha haha ha!
Wengine wanapaka mkorogo ili wawe weupe!

Ila mimi napenda sana dada mweusi aliyejaza kiasi na mrefu- na mguu pia wa bia!
 
Wadau, nimepata mtu, ila bado tunaendelea na majadiliano ya hapa na pale na kufahamiana. Nashukuru kwa hilo.
Tuendelee kumkoma nyani.
 
Hongera, IDIMI. wengine tusingeweza kuapply manake qualifications zingine unazozitaka hatuna.
 
Idimi,
kwa mfano mimi nina sifa zote hzo ulizozitaja,
Na kizuri zaidi nilikuwa natafuta rafiki wa kiume kwa muda mrefu tu,lakini kwa ajili ya uafrika asilia naona aibu kumuanza mwanaume kumuomba urafiki thanks umeanza.
Pungufu langu ni moja tu umri wangu mie ni miaka 30 na miezi sita.
kabla sijaandika PM sijui unaliona je hilo
 
IDIMI ushampata huyo gerofrendi ama bado una search?

Na je nafasi ilikuwa ni moja tu ama kuna ziada?

Halafu niliona suala la kunegotiate sifa, na nikaona kuna uliyemuahidi kuendelezwa kielimu,Mimi nina 33 yrs, vipi naweza kupunguziwa umri pia ili nifit kwenye qualification unazozitaka kama yule aliyekuwa hajafikia form six na akaahidiwa kuendelezwa kielimu?
 
Mkuu Idimi,
bahati mbaya (nzuri?) nina mke, ningeomba wasiofikia vigezo vyako uwalete kwangu...... all the best, keep us updated.
 
Usikonde, nitawa-forward kwako bila shaka.
Ila sshhhhhhhhh! Heshimu ndoa bro!
Usimwambie mtu! Lol

Idimi
 
Hahahhhh!
Pole sana. Vigezo gani vilikukwamisha?

Umri IDIMI Umri! I am 33. lakini najua vigezo vingine vyote navimudu.

Hongera kwa kuweka tangazo hili. you are brave. sio wanaume wengi who can do what you did. alafu msichana ukiishi Dar ni vigumu kukutana na wanaume wa maana!
 
Pole sana kijana wangu.
Ina maana na wewe ulishakutana na wasanii kama ilivyonitokea mie? Mie nilishafanyiwa usanii sana na mwanadada fulani (girlfriend) hadi nikawa nawachukia sana akina dada, (mtanisamehe kwa hilo)imenigharimu sana, kisaikolojia, kiuchumi na huenda kijamii pia. Ndio sababu nikaweza vigezo (terms of reference) kwa huyu atakayepatikana sasa.
 
IDIMI ushampata huyo gerofrendi ama bado una search?

Na je nafasi ilikuwa ni moja tu ama kuna ziada?

Halafu niliona suala la kunegotiate sifa, na nikaona kuna uliyemuahidi kuendelezwa kielimu,Mimi nina 33 yrs, vipi naweza kupunguziwa umri pia ili nifit kwenye qualification unazozitaka kama yule aliyekuwa hajafikia form six na akaahidiwa kuendelezwa kielimu?

Hongera, IDIMI. wengine tusingeweza kuapply manake qualifications zingine unazozitaka hatuna.

Umri IDIMI Umri! I am 33. lakini najua vigezo vingine vyote navimudu.
Hongera kwa kuweka tangazo hili. you are brave. sio wanaume wengi who can do what you did. alafu msichana ukiishi Dar ni vigumu kukutana na wanaume wa maana!

Pole sana kijana wangu..

IDIM unamiyeyusho!
Nimekuwekea post hizo uzisome bizuri kama ulikuwa unaharaka, pepesa macho tena katikati ya mistari.
Hivi umri pamoja na vigezo vingine vilikuwa na standard deviation?
 
mimi naona kama IDIMI unajilimit bure. get to know all possible women who sound interesting.
 
Usikonde, nitawa-forward kwako bila shaka.
Ila sshhhhhhhhh! Heshimu ndoa bro!
Usimwambie mtu! Lol

Idimi

Mkuu Idimi - Ebu weka wazi hili, unataka mtu wa kubadilishana mawazo tu? au unataka kwenda mbali zaidi ya hapo hadi kwenye kuivunja amri ya sita (najua unaifahamu)? Manake si wabongo kidogo huwa si wawazi sana katika issue hii!!

Sorry mkuu, I wish u all the best!

festog
 
Natafuta rafiki wa kike (girlfriend) wa kubadilishana naye fikra na uzoefu wa mambo mbalimbali.
Mkuu Festog,
Lengo langu haswa halikuwa kutafuta mwanadada wa kujivinjari nae kimapenzi, ingawa hiyo kauli "Mambo Mbali mbali" kama nilivyojinukuu hapo juu ilizua maswali mengi sana kwamba niifafanue. Binafsi nilikuwa na girfriend hapo kabla, ila alipata jamaa ambaye 'mfuko' wake ni mnene zaidi kuliko mimi mwanafunzi (enzi hizo), hivyo nikamwagwa 'mbaya'. Nilijikongoja hadi maumivu yakaisha. Hii ilikuwa mwaka 2000. Hii ndiyo sababu ambayo ilinifanya nisitafute "mpenzi" kwani huenda yakawa yale yale, ingawa sasa nina kazi. Sitaki kufanya usanii kwa mtoto wa mtu, kwani naelewa maumivu yake!
 
mimi naona kama IDIMI unajilimit bure. get to know all possible women who sound interesting.

Thanks for your recommendations, I will work on them.
Idimi
 
Mkuu Festog,
Lengo langu haswa halikuwa kutafuta mwanadada wa kujivinjari nae kimapenzi, ingawa hiyo kauli "Mambo Mbali mbali" kama nilivyojinukuu hapo juu ilizua maswali mengi sana kwamba niifafanue. Binafsi nilikuwa na girfriend hapo kabla, ila alipata jamaa ambaye 'mfuko' wake ni mnene zaidi kuliko mimi mwanafunzi (enzi hizo), hivyo nikamwagwa 'mbaya'. Nilijikongoja hadi maumivu yakaisha. Hii ilikuwa mwaka 2000. Hii ndiyo sababu ambayo ilinifanya nisitafute "mpenzi" kwani huenda yakawa yale yale, ingawa sasa nina kazi. Sitaki kufanya usanii kwa mtoto wa mtu, kwani naelewa maumivu yake!

Thanks, ila nakushauri intentions zako mapema hao waliojitokeza au watakao jitokez.....! wasije kubadilikia mkuu!! Ila kaka,mbuzi wako kwenye magunia, vipi ukiwaona physically....! naona safari yenu inaweza ishia kwenye ka amri ka 6!!! in case mbuzi wana lipa!!
 
IDIMI hujapata? Nataka nami kuandika kuwa natafuta rafiki :)

Mkuu Invisible,
Naona wengi wanachenguka na vigezo nilivyokuwa nimeviainisha, wengi wamelalamikia kigezo cha umri kwamba kinawabana, labda nipunguze. Kuna mmoja kapatikana ila bado tunajadili kupunguziana vigezo. Kuhusu wewe kutafuta rafiki, kama umesoma posti zote za ujumbe huu, hasa hapa mwishoni mwishoni, utaona kwamba kuna akina dada wengi wanatafuta marafiki wa kiume.
Weka ujumbe wakuchangamkie, ila nakushauri usiweke vigezo vigumu sana, yasije kukupata kama ya kwangu.
Good luck mkuu.

Idimi
 
Thanks, ila nakushauri intentions zako mapema hao waliojitokeza au watakao jitokez.....! wasije kubadilikia mkuu!! Ila kaka,mbuzi wako kwenye magunia, vipi ukiwaona physically....! naona safari yenu inaweza ishia kwenye ka amri ka 6!!! in case mbuzi wana lipa!!

kwi kwi kwi.
Sawa mkuu nitazingatia baadhi ya maoni yako.
ila la kheri katika siku ya "Wapendanao" kesho.

Idimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom