Natafuta Rafiki, Mchumba


WE PASCAL WE.....! UMESEMA UNATAFUTA WA MAISHA AU HIT AND RUN......?
 
WE PASCAL WE.....! UMESEMA UNATAFUTA WA MAISHA AU HIT AND RUN......?

Aaaaaaaaaaaah kaka, maskhara hayo!
Mie niko siriaz natafuta kama akifiti vigezo vyote hivo ndo maisha yanaanza kihivyo.........si unajua tena!
Akikosa ama kupungua katika vigezo nilivyotaja basi huyo hakika atasabisha ufisadi katika suala zima la uhusiano wangu na yeye ambapo matoke yake ni "eat an run"
hahahhaha lol!
 

Kila kheri ndugu.
 
Hi

Kijana

Kama Hiyo Ni Blog Yako Tafadhali Weka Terms Of Use , Privacy Na Discrimer Kumbuka Watu Wanakupa Details Zao Utazi Handle Vipi ?

Utahakikisha Vipi Hizo Details Haziendi Kwa Mtu Wowote Au Hazina Faida Kwako Kibiashara?

Je Ukifa Leo Nani Atashikwa Na Hizo Taarifa?

Tafadhali Andaa Vitu Hivyo Kisha Wekakatika Blogu Au Site Yako

Ahsante
 
Kuna dada mmoja ni jirani yangu yeye ana sifa zote unazizitaka ni mwarabu mix ila ana ukimwi,vipi aje?
 

vipi ushapima ngoma? na je kuna ulazima wa unayemtaka naye apime?
 
Kuna dada mmoja ni jirani yangu yeye ana sifa zote unazizitaka ni mwarabu mix ila ana ukimwi,vipi aje?

we hunitakii mema/hututakii mema. (sijui hiyo comment yako inaenda kwangu ama kwa Idimi) but all in all am not interested with that type man!
 
Natafuta rafiki wa kike
Awe na umri kati ya miaka 40 na 50.
Awe na umbo lolote na rangi yoyote.
Awe haishi na mwanamume kwa sasa
Awe tayari kupima ukimwi.
Awe tayari kuwa nami kama 'girl friend'.
Awe anatokea sehemu yeyote ya Tanzania, au Afrika ya Mashariki.
Asiwe mbaguzi.
Asiwe na wivu.
Tuwasiliane: mbarikiwa@gmail.com
 
Mimi nitaenda nje kidogo ya mada. Nimeoa nakaa dar. Hivi kwa wenzangu walio oa ni kawaida kwa mwanaume kumpa hela mkewe kila mwezi? Mimi ninafanya hivyo kila mwanzo wa mwezi (200,000) sasa juzi juzi hapa (miezi 3 imepita) kaanza kulalamika eti haitoshi nimuongezee. Yeye ana kazi yake mwenyewe ila ukweli ni kuwa mshahara wake kwa mwezi hata robo tu hauufikii wangu.Hili suala limeshakuwa kero kwangu. Ninafikiria kuacha kumpa kabisa. Kaja na historia ya akina mama wenziwe ninaowajua wanapewa 400,000 au zaidi. Mfumo huu niliuanzisha mwenyewe kwa kuwa wakati nakua baba yangu mzazi alikuwa anafanya hivyo. Je ni mimi tu nimekuzwa hivyo au ni kawaida kabisa kwa waliooa kufanya hivyo? Naweza kumwambia bila matatizo kuanzia leo upati kitu fanya utakalo.

To be fair kwake pia ana majukumu home kama kununua chai na kitafunio mwezi mzima kila siku, bili ya maji, etc
 
All the best BABAH!! siku hazigandi bwana huenda ukaopoa kimwana from Humu JF, lakini pengine wengine wanaogopa kukutumia PM coz of hilo jina la BABAH, huenda wakawa wana hisi kuna MAMAHtayari, kama sivyo plz watoe hofu mkuu!!
 

Hey, what do you mean?
 
Hey, what do you mean?
mambo ya information za watu kaka, nowadays when you ask for other pples contacts you need to assure them that you will not, under any circumstances disclose their inforamtion to third parties. Failure to do so will lead you to be held accountable should any leakage of information occur.Ndio maana unavyojisubrible kwenye site yoyote kunakuwa na terms and conditions or disclaimer kuelezea mambo kama hayo. Hope u get it rite.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…