Natafuta quartz clear

Natafuta quartz clear

Kg1 bei ya kuuza ni 120,000/ mpaka 100,000/ hizo ni bei ya baadhi ya matajiri
Quartz inategemea kuna jiwe linaweza likuwa kg 1,2 na kuendelea
Quartz hizi unataka ww au una tajiri
Je kama una tajiri tajiri yako ni wa aina gani Je mchina,mzungu,mbongo

Ova
Nataka Mimi Kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ( decoration ) . I am a crystal gather
 
Bandeko mwenye ana clear quartz au anajua wapi nitazipata anijulishe tafadhali nazihitaji mno. With much thanks in advance
bandeko ya kinshasa na Fm qatra ven dous .
 
Back
Top Bottom