Natafuta quartz clear

Natafuta quartz clear

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,924
Reaction score
37,763
Bandeko mwenye ana clear quartz au anajua wapi nitazipata anijulishe tafadhali nazihitaji mno. With much thanks in advance
 
Hujasema price yako mkuu
Natafuta Kwa ajili ya matumizi bnafsi ( urembo) so nahitaji kiasi kidogo Tu but kama unazo unaweza sema bei yako then we can negotiate
 
Nilijua unahitaji in bulk tufanye biashara..
 
Kama unazo mkuu naweza Chukua hata Kwa wingi. Unazo kiasi gani na upo wapi?
Nipo Geita...kuna jamaa nilikuwa nawauzia Mwanza pale City Mall sasa kutokana na Corona demand ikashuka...nikastop kidogo maana kuna pahala nilikuwa nazifata but kama wewe utahitaji tufanye biashara nicheki humu ...bcomplex06@gmail.com
 
Buyer anaogopa kutoa offer yake, Seller naye anaogopa kutoa offer yake.....

Ni biashara za Kiswahili peke yake ndo zina Utaratibu huu.
Forces of demand and supply ndo zina determine price of goods and services...elewa
 
Nipo Geita...kuna jamaa nilikuwa nawauzia Mwanza pale City Mall sasa kutokana na Corona demand ikashuka...nikastop kidogo maana kuna pahala nilikuwa nazifata but kama wewe utahitaji tufanye biashara nicheki humu ...bcomplex06@gmail.com
Okay nakuchek Kaka ngoja niku pm kwanza
 
Buyer anaogopa kutoa offer yake, Seller naye anaogopa kutoa offer yake.....

Ni biashara za Kiswahili peke yake ndo zina Utaratibu huu.
Quartz clear crystal kuuza ni 120,000 size kuanzia kg1 na kuendelea

Ova
 
Buyer anaogopa kutoa offer yake, Seller naye anaogopa kutoa offer yake.....

Ni biashara za Kiswahili peke yake ndo zina Utaratibu huu.
Yaani ni Shidah...mtu anatangaza Biashara open ukiuliza bei unaambiwa njoo DM🤣🤣🤣
 
Kg 200 mpk 300
Inategemea na production

Ova
Mkuu nifafanulie vizuri kwamba nikitoa hiyo laki na 20 nitapata mawe yenye ujazo wa kilo 200 Hadi 300 si ndio?
 
Kg1 bei ya kuuza ni 120,000/ mpaka 100,000/ hizo ni bei ya baadhi ya matajiri
Quartz inategemea kuna jiwe linaweza likuwa kg 1,2 na kuendelea
Quartz hizi unataka ww au una tajiri
Je kama una tajiri tajiri yako ni wa aina gani Je mchina,mzungu,mbongo

Hahaha unataka pesa au asili ya mnunuzi?!
Kwani akiwa Muhindi bei inapungua au inazidi?!
 
Back
Top Bottom