Natafuta Pressure stove, yanapatikana wapi?

Dec 22, 2015
32
9
Habari ya jioni ndugu jamaa na marafiki,
kwa yeyote anayefahamu yanapo uzwa majiko ya stove anifahamishe nipo Dar. 0714374155 au 0753199179. Au kama unalo na unaliuza tuwasiliane pia ila liwe katika hali nzuri.
 
Habari ya jioni ndugu jamaa na marafiki, kwa yeyote anayefahamu yanapo uzwa majiko ya stove anifahamishe nipo Dar. 0714374155 au 0753199179. Au kama unalo na unaliuza tuwasiliane pia ila liwe katika hali nzuri.
Nitakupa jibu kesho kuna mahali niliyakuta nitapita kujua kama bado yapo
 
Nenda pale pale ulizia duka la vyombo .... Linatazamana na hiyo round about ... Ni maarufu hilo duka la mhindi na ana bei nzuri pia.
 
hayo majiko yamewahi kuwa na dili mtaani yalitafutwa sana ila sio yote afu masharti yake makali sana
 
Habari ya asubuhi mkuu uliniahidi kunijulisha kama stove zipo kunamahali uliziona vipi zipo?
Salama mkuu, samahani nilijisahau mkuu. zipo pale Moshi mjini duka moja linaitwa mombasa store linatazamana na bank ya NMB. kama una mtu wako maeneo ya moshi muagize akuchukulie
 
Mwenye jiko kama hili aniuzie, ila liwe katika hali nzuri.
 

Attachments

  • IMG_20170202_145438.jpg
    IMG_20170202_145438.jpg
    47.3 KB · Views: 104

Similar Discussions

Back
Top Bottom