laurent katema
Member
- Dec 22, 2015
- 32
- 9
- Thread starter
- #21
Du, hakuna namna ya kujanalo dar au kulituma kwenye mabasi?Mimi ninalo.ila niko mkoani.ni yale ya toleo la kwanza kabisa ya stove.
Masharti yake ni yapi mkuu?hayo majiko yamewahi kuwa na dili mtaani yalitafutwa sana ila sio yote afu masharti yake makali sana
Check na walinzi wa jumba la makumbusho...

Labda ameagizwa na mgangaKwanini unalipenda mkuu,wakati fashion yake imeshapita na kwasasa yako majiko bora zaidi?

(natania)Kwanini unalipenda mkuu,wakati fashion yake imeshapita na kwasasa yako majiko bora zaidi?
Nichek pm kama unaloMasharti yake ni yapi mkuu?
We ulijipanga kwa bei gani
Nirushie picha yake nikadirie beiWe ulijipanga kwa bei gani
Siko nalo mkuu ila bado liko njema kabisa
Basi nitumie bei kwenye namba zangu kwa kuwa wewe unalifahamu uzima wake mkuu. 0714374155 au 0753199179Siko nalo mkuu ila bado liko njema kabisa
Poa ntakuchekBasi nitumie bei kwenye namba zangu kwa kuwa wewe unalifahamu uzima wake mkuu. 0714374155 au 0753199179
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app