Elgibo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 1,067
- 1,518
Nimejaribu sana kuelezea:maeneo yepi udongo hauhamishwi mkuu? tafadhali tusaidie
1.Tengeru
2. Shangarai
3. Kwa mrefu (Baraa)
UKANDA HUU NI WA KIJANI, hali ya hewa nzuri, maeneo mapana na maji ni mengi japo (tengeru kiasi flani maji yanasumbua kidogo)
Haya maeneo ni bora sana kwa mtu mwelewa.
1. Umeme
2. Barabara...hakuna msongamano wa magari, ndiyo barabara pekee Arusha yenye njia mbili..double road.
Umbali kwenda city centre:
1. Tengeru to town=13km
2. Shangarai to town=10km
3. Kwa mrefu to town=7km
Haya ndio mimi ninapendekeza kwa mtu mjanja. Enzi ya JK yalikuwa hayanunuliki
Bei ilikuwa juu but sasa hata 20m unapata eneo zuri tu