Cheki Tengeru, very accesible. Opposite na Mountain village. Viwanja vimepimwa. Huduma zote zimoni sehemu ipi arusha ukijenga ni sehemu ya middle class, at least hakuna uswahili, kila mtu anajua yake? please watu wa arusha nisaidieni.
Kama Mahakama Kuu nenda kanunue Sekei the other side of Mt. Meru hotel. Eneo halisumbui maji hata kidogo na ni Jirani na kazini kwako just a walking distance.huko pia lazima nitatafuta mkuu. nalenga pia kuishi karibu na nitakapofanyia kazi, MAHAKAMA KUU.
Wakuu, natafuta kiwanja cha kujenga Arusha eneo la Njiro au Moshono, kisipungue nusu eka, eneo linalofikika lenye huduma zote, offer mkononi ninayo 30m. kwa atakayekuwa nacho, kinahitajika haraka, na unatakiwa kuweka specification za kiwanja hizo zote hapa na uweke na picha na mazingira yalivyo. pia, kiwanja kiwe kina hati (kwani nitapita ardhi kuserch), kama una mke au mume, hakikisha wanandoa wote mnaridhia kuuza na wote mtaingia kwenye mkataba na transfer ya ardhi. thanks.

Gomba estate ni uelekeo wa wapi, mimi sio mwenyeji hapo, nilishakuja kwa kupita tu kama mara tatu hivi, napajua kisongo kule kwa ngurumo, napajua njiro, maeneo mengine huwa napita sijui ni wapi, nasimuliwa tu.Mimi nauza kiwanja kipo gomba estate-
Mkuu mbona mikwala mingi sanathanks, sehemu nzuri ni wapi mkuu. hasa ambako sio uswahilini...actually, nahamia arusha soon na sitaki nipange zaidi ya mwaka mmoja, hivyo nafika na kuanza kujenga ndo maana nataka kununua kiwanja soon after arrival. ila jueni mimi ni mwanasheria, najua due diligence ya kueleweka kabla ya kununua kitu hasa ardhi.

Zingatia ushauri wa wadau sasa hasa njiro na moshonohamna mikwara mku...hahaha
Kimsingi arusha maeneo yaliyopimwa ni machache kama njiro.na sehemu wadau walikotumia fursa kama huko ngaramtoni kuelekea nairobi. Otherwise sehemu nyingi ni ustaarabu tu wa wenyeji kuacha njia na kutemgeneza mitaa na ulinzi. Ningeshauri ujipe.muda wa kama mwezi mmoja ufanye survey mwenyewe ujiridhishe.yap, itabidi niwe makini, kuuziwa mara mbili huwa inasumbua sana....sehemu gani nyingine ni ushuani mkuu zaidi ya njiro?
ushauri mzuri, lakini ungetoa pendekezo wapi maeneo pendekezi kwa uzoefu wako pia ingependeza mkuu.Kimsingi arusha maeneo yaliyopimwa ni machache kama njiro.na sehemu wadau walikotumia fursa kama huko ngaramtoni kuelekea nairobi. Otherwise sehemu nyingi ni ustaarabu tu wa wenyeji kuacha njia na kutemgeneza mitaa na ulinzi. Ningeshauri ujipe.muda wa kama mwezi mmoja ufanye survey mwenyewe ujiridhishe.
Huko matejoo hapana.matejoo ipo kama kuelekea wapi? sorry
Hali halisi iko hivi kwa Arusha.ni sehemu ipi arusha ukijenga ni sehemu ya middle class, at least hakuna uswahili, kila mtu anajua yake? please watu wa arusha nisaidieni.