Nilitoa ushauri wanguwapi ni pazuri mkuu, hasa ukiwa unaelekeza mtu mgeni Arusha! fafanua tafadhali kwa msaada zaidi.
Inategemea wewe unavutiwa na maeneo gani, binafsi ninapenda eneo la kijani, maeneo mazuri na yenye maji tele, hali ya hewa nzuri na maeneo ya kutosha nje ya mji...wastani wa km 10 ni kuanzia ...Moshi road( Shangarai hadi kwa Mrefu) hapo kuna maeneo mazuri sana. Ninayafahamu kwa undani sana, panapendeza
Humtakii mema mshua. Ata saa saba mchana unakabwa. No hard feelingsMaeneo ya matejoo kulee
True, kula wengi ni Mama wauza mihogo, samaki, chips mabanda ya Pombe za kienyeji, vijiwe kibao vya vijana n.k...yaani hawana time na mtu kule.Maeneo ya matejoo kulee
Next week natinga Arusha...nitafanya Survey hukoCheki Tengeru, very accesible. Opposite na Mountain village. Viwanja vimepimwa. Huduma zote zimo
sio kweli hadi 10m unapataKwa taarifa yako 30ml nusu heka huwezi pata kiwanja Njiro au Moshono. Njiro angalia uwe na 50ml. Nakushauri tafuta maeneo mengine kama kisongo. By the way Njiro na Moshono kuna shida ya upatikanaji wa maji sana
Huko ukipita unatakiwa uvae mask puanikwa hiyo ni uswahilini.
Hahahhaah kule kuna wenyewejamaa naona alikuwa ananisogeza tayari kukaba...hahaha. ameshanikosa.
Tuwe siriaz, Njiro ipi unapata nusu eka kwa 10m?sio kweli hadi 10m unapata
maeneo yepi udongo hauhamishwi mkuu? tafadhali tusaidieTuwe siriaz, Njiro ipi unapata nusu eka kwa 10m?
Mimi ni mnunuzi wa ardhi, hiyo bei ni ya 25x18m, ardhi ni ghali sana Arusha.
Hizo bei ni sehemu zenye udongo usiofaa kujenga hadi uhamishe udongo, hasa udongo wanaita ngusero, maeneo ya Muriet kulee ndipo unaweza kupata kwa bei hiyo lakini wakati wa mvua hata kupita kwa miguu ni shida
Nadhani hata kupaita Uswazi ni kupapendelea sana, kama kuna jina la sehemu iliyo zaidi ya Uswazi tumia hilo.kwa hiyo ni uswahilini.
Kwa maoni yangu hakuna sehemu iliyo na standard moja kwa eneo kubwa ukiondoa Njiro ambayo umeitaja, ila kwa offer uliyotoa ni mtihani... unless ukute Mtu anauza nyumba yake/yao.wapi mkuu unaweza kupata middle class, na hakuna kuhamisha udongo, yaani panapitika kipindi chote?
nashukuru kwa ufafanuzi.Kwa maoni yangu hakuna sehemu iliyo na standard moja kwa eneo kubwa ukiondoa Njiro ambayo umeitaja, ila kwa offer uliyotoa ni mtihani... unless ukute Mtu anauza nyumba yake/yao.
Maeneo mengi ni mchanganyiko maalumu, huku kuna mwenye mjumba wa milioni mia mbili, nje akitoka jirani anapiga mswaki nje...kama Mtaa utakuta umejipanga sana si zaidi ya nyumba tano sita hivi.
Kwingine ni uzunguni, kordo area...na huko ni kununua nyumba sio kiwanja, bei sasa.
Dawa ni kupata maeneo mapya ya mradi, yaliyoandaliwa na kupimwa, ndio walau mjikute mmeingia watu wa kaliba moja mtaa wote.