Natafuta plot Arusha Njiro au Moshono

Natafuta plot Arusha Njiro au Moshono

Bei zinakuaje na ukubwa
Huu mradi ni Wa gated community..
Kuna kama viwanja 33! Ukubwa ni kati ya 900-1300sqm..
Upo karibu na Maua Gate kili golf-(Air strip) barabara ya kwa ugoro.
Last year price per sqm ilikuwa 35$. Sijui kwa sasa. Nitapitia makabrasha nikupatie sales dep. contacts.
 
Attachments

mkuu 20*25 kwa offer yako kipo moshono... maeneo ya st. monica kuelekea jeshini

Angle sheraton pia kuna kiwanja 35M 20*25=sq 500

Nadosoito kuna 2heka karibu na shule ya sekondary Renea tuna weza kuongea kama una hitaji

kikwe kuna heka pia kama una itaji pia...

hivi vyote havijapimwa

ila moshono nyuma ya mlima ambao ni base ya network ya mitandao ya simu, hivi vimepimwa na vina hati ni 20*20 hadi 20*25 bei 25M

karbu mkuu
 
Kwa taarifa yako 30ml nusu heka huwezi pata kiwanja Njiro au Moshono. Njiro angalia uwe na 50ml. Nakushauri tafuta maeneo mengine kama kisongo. By the way Njiro na Moshono kuna shida ya upatikanaji wa maji sana
Mkuu kuhusu upatikanaji wa maji nakataa kabisa.mimi ni mzawa wa moshono sijawahi kuona tatizo katika upatikanaji wa maji
 
key mbona hamna... hizo ukijani pembezoni mwa cul de suc na barabara ni nini hizo? samahani lakini mkuu
 
ni sehemu ipi arusha ukijenga ni sehemu ya middle class, at least hakuna uswahili, kila mtu anajua yake? please watu wa arusha nisaidieni.
Mkuu nifate inbox nikupatie jamaa atakayekupa kiwanja kizuri moshono.ni wa uhakika na viwanja havina longolongo
 
key mbona hamna... hizo ukijani pembezoni mwa cul de suc na barabara ni nini hizo? samahani lakini mkuu
 
key mbona hamna... hizo ukijani pembezoni mwa cul de suc na barabara ni nini hizo? samahani lakini mkuu
Usijali Kiongozi.. Hiyo ni landscaping plan.. Nimekosa viambata vyake.. Ila huo ukijani ni upande utakaopandwa miti na ni public property... Wanapanga kuwe miti, maua na shrubs planted.

The 3d version ilikuwa more detailed na ilionesha vision way better. Sina tu picha yake.
 
Plus hiki nilitumiwa na mtengenezaji wa plan directly ..wakati anaifanyia kazi
 
Nenda www.thesafaricity.com Matevez ni bonge la mji. Umeme upo maji yapo barabara za ndani zimechongwa na ulinzi upo. Barabara kubwa ya Afrika Mashariki kutoka Ngaramtoni hadi USA inapita ndani ya viwanja.

Viwanja vyote unapewa hati na sqmt 1=35,000. Nenda huko hutajutia pesa yako.
Huko Safari city kuna kiwanja kinafika nusu ekari kweli?

Vv
 
Plus hiki nilitumiwa na mtengenezaji wa plan directly ..wakati anaifanyia kazi
mwambie arekebishe hayo mapungufu mkuu

Capture.JPG
 
Usijali Kiongozi.. Hiyo ni landscaping plan.. Nimekosa viambata vyake.. Ila huo ukijani ni upande utakaopandwa miti na ni public property... Wanapanga kuwe miti, maua na shrubs planted.

The 3d version ilikuwa more detailed na ilionesha vision way better. Sina tu picha yake.
kama ni miti ni lazima kuwe na nafasi kuonesha mwisho wa garden au buffer zone au kama ni open space... haitakiwi kushikana na viwanja, vikishikana kakutakuwa na kutokea kwa baadhi ya viwanja mkuu...
 
mwambie arekebishe hayo mapungufu mkuu

View attachment 657712
Mkuu Hii ni Gated Community... Yote IPO ndani ya Fence.. The entire 12 acres zinajengewa uzio... With club house and play ground for kids.

Kiwanja pekee kinachoweza kuwa accessed kutokea nje ni plot number 1 yenye matumizi ya biashara... Including an office building

Access ya viwanja vyote nikupitia gate moja.tu.
 
kama ni miti ni lazima kuwe na nafasi kuonesha mwisho wa garden au buffer zone au kama ni open space... haitakiwi kushikana na viwanja, vikishikana kakutakuwa na kutokea kwa baadhi ya viwanja mkuu...
Nimeelewa concern..nadhani kama ningekuwa na survey plan..ningekuonesha..zoote zimekuwa well defined kulingana na mahitaji ya mwenye plot.. Ila kuna space ndani ya hiyo buffer inayokuwa driveway kingia ndn ya plots. Kwenye survey imeoneshwa.. As is said earlier this was a concept drawing.. Ila ndiyo waliyoimplement mwishoni.

Mradi originally ulikuwa kwa ajili ya watu wanaotaka kujenga holiday homes ...ulitarget watu nje hasa Dubai..
 
Nenda www.thesafaricity.com Matevez ni bonge la mji. Umeme upo maji yapo barabara za ndani zimechongwa na ulinzi upo. Barabara kubwa ya Afrika Mashariki kutoka Ngaramtoni hadi USA inapita ndani ya viwanja.

Viwanja vyote unapewa hati na sqmt 1=35,000. Nenda huko hutajutia pesa yako.

mkuu kiwanja cha 20*25=Sqm 500 ni Tsh 500*35000=17,500,000; cha Sqm 1000 ni 35M, kiwanja cha 40*40= Sqm 1600 ni Tsh 56,000,000
 
Mkuu Hii ni Gated Community... Yote IPO ndani ya Fence.. The entire 12 acres zinajengewa uzio... With club house and play ground for kids.

Kiwanja pekee kinachoweza kuwa accessed kutokea nje ni plot number 1 yenye matumizi ya biashara... Including an office building

Access ya viwanja vyote nikupitia gate moja.tu.
Ok nimekuelewa ndio maana mwanzo nikakuambia kungekuwa na key ingekuwa rahisi mno kuelezeka mkuu... ila nashukuru kwa maelezo yako....
 
Usijali Kiongozi. Was an interesting exchange. Ni urban planner?!
 
Back
Top Bottom