Kinauzwa sh. Ngapi boss?hapana mzee kinauzwa ghali sana na sie masikin tuna kiu ya kusoma .
Asalaleee,hatariiiElf40 .
Kama ni hela hiyo nitanunua, Mimi nilidhani 200,000.Elf40 .
Mbona bei ya kawaida sana hiyo?Elf40 .
Unisaidie nitoe copy mkuu.Kama ni hela hiyo nitanunua, Mimi nilidhani 200,000.
haki zote zimehifadhiwa, ukishikwa faini yake ni balaaUnisaidie nitoe copy mkuu.
Nenda ofisini kwake nàamini utapewa a free copyHabari wakuu ,naomba mwenye uwezo wa ku-share PDF ya kitabu tajwa hapo juu kwa wale walionacho katika mfumo wa PDF .
Tupe na sisi mkuu.kiweke hapaNilipata na nimeshakimaliza .