Natafuta mtu mwaminifu wa kuanzisha naye project ya kuhost wageni/volunteers

Think Wise

Member
Jul 12, 2023
25
14
Habari wakuu!

Kama tittle hapo juu inavyojieleza. Mimi ni mdau mwenye uzoefu wa mambo ya kuhost wageni (wazungu) na ninayemini katika kujiajiri.

Natafuta mtu wakushirikiana naye kuanzisha project ya kuhost wageni kwa ajili ya kwenda kujitolea kwenye jamii (Social works).

Mshirika ambaye nahitaji awe na nyumba yenye western facilities, kwa upande wangu kuna vitu muhimu nimeshakamilisha kuhusiana na mambo ya usajili, lakini pia akitokea mdau wa kuniunganisha na channel ya kuwapata volunteers wengi zaidi nitashukuru pia.

Mdau yeyote ambaye yuko interested anicheck inbox.

NB: Business/Project Partner awe anatokea Arusha.

Nawasilisha
 
Namaanisha natafuta mtu wa kushirikiana naye kufanya biashara/project ya kuhost wazungu ( Hostel).
 
Mhhh....Mzee unataka ujilie mbususus za kizungu kiahasara Naona...kila.la.kheri
 
Mimi nahitaji mwenye nyumba tayari, ambayo si yakupangisha, lakini anaweza kuitoa kwa makubaliano ya kushirikiana pamoja. Kuna vitu ambavyo namimi nita offer pia. Mwisho wa siku nyumba itaendelea kuwa yake tu
 
Nyumba ipo tayari na hua inatumika kwajili ya wazungu, unataka aina hii?
 
Mkuu Chenchele,sio nyumba ya kupanga nahitaji. Nachohitaji ni nyumba iliyoko tayari kama unavyosema lakini tushirikiane kufanya jambo la maendeleo pamoja kuliko nyumba kukaa yenyewe bila kutumika . Mean kwamba sitakulipa kodi, lakini project tutakayofanya ni yetu sote, out of project nyumba bado itaendelea kuwa yako.
Sijui kama nimekujibu mkuu?
 
Bado finishing tu tungepiga kazi
 
Ila kwa mwezi kama naweza kupata 3M, naweza kuhamisha familia
 
Mkuu Chenchele,sio nyumba ya kupanga nahitaji. Nachohitaji ni nyumba iliyoko tayari kama unavyosema lakini tushirikiane kufanya jambo la maendeleo pamoja kuliko nyumba kukaa yenyewe bila kutumika . Mean kwamba sitakulipa kodi, lakini project tutakayofanya ni yetu sote, out of project nyumba bado itaendelea kuwa yako.
Sijui kama nimekujibu mkuu?
Gotcha, okay project ipo kwajili ya tourist (wazungu) ila sema ipo Mbeya. Some of the tourists wanaofika arusha wanafika mbeya pia so they stay here.

So kama una source ya tourists, business inawezekana. NOTE that location.
 
Attachments

  • img_1_1689428611330.jpg
    img_1_1689428611330.jpg
    65.1 KB · Views: 9
Gotcha, okay project ipo kwajili ya tourist (wazungu) ila sema ipo Mbeya. Some of the tourists wanaofika arusha wanafika mbeya pia so they stay here.

So kama una source ya tourists, business inawezekana. NOTE that location.

Well noted mkuu
 
Haka kabiashara ni katamu.tafuta pesa nunua furniture panga nyumba , wazungu wanapenda simplicity usijipe taaabu na western furniture
 
Back
Top Bottom