Natafuta Video editor aliyeko Lindi au Mtwara

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,906
Habari,

Niko nataka nianzishe chanell youtube.

Natafuta mtu wa kupartner kuanzisha kufanya kazi. Video editing

sifa
  • Awe hana kazi
  • Kama ana kazi bas asiwe bize sana kiasi cha kukwamisha hii kazi ya editing
  • Malipo n kwa kazi c mshahara
  • Awe na ujuzi au makeke kwene editing
  • Awe na kazi ambazo ashazifanya kama sample

Kama uko interested ni PM
 
Nicheck 0656800099 Whatsap itakua poa njoo na jibu kazi moja unalipa kiasi gani... Tembelea ABELVIL TV (YouTube) uone kazi nilizozifanya. Kwa kazi hiyo ni possible kufanya na mtu wa eneo lolote me nafanya kazi na watu wa mbali then nawatumia au nina-upload kazi zao
 
poa nakucheki
 
Back
Top Bottom