Natafuta paka wa kufuga

Natafuta paka wa kufuga

Unataka nyau wa rangi gani????????????? mana wale wa kazi zenu ..........................ni lazima awe mweusi na hao weusi hata huku kitaa twawaogopa kuwasogelea sembuse kuwakamata, ila kama rangi nyingine hata kontena mia nitakuletea.
 
Ahahahahahahaaaaaaaaa hili tangazo limenifanya nicheke sana,huyo mtu anayetafuta paka ametokea marekani nini?

Nimetokea hapa hapa dar kiongozi....kama sio mfugaji wa wanyama wa nyumbani huwezi kuelewa ila kwa kifupi paka wa nyumbani ni tofauti na hao wa mabarabarani, kama ilivo tofauti kwa mbwa anayefugwa home na hao wanaozurura mtaani
 
Wanafuga pets wamenielewa sana, shukrani nyingi kwa mama dunia kunipa link ya animal welfare society
Labda hapa tuwekane sawa,hakuna vya paka wa mtaani wala wa Animal welfare.Wote ni Paka tu na tabia zile zile.
Huwa inategemea umemchukua na umri gani kutoka kwa mama yake,paka anatabia ya kubadilika kutokana na mazingira.
Hata hao wa animal welfare ni wale wale tu,sema tu ndio mnaleta uzungu mwingiii.
Tunao majumbani paka kibao na wanalala hadi kwenye makochi na afya nzuri sana,na wala hawamkeri mtu,sababu kubwa ni kwamba alichukuliwa mdogo na kazoea mazingira na kuwa kama sehem ya familia.
Nimeangalia hao paka mnaodai wa animal welfare wapo kama wale wa manzese tu maskinio marefuu kama wanaumwa kwashakoo,vyembambaaa.Hembu temebelea nyumba za watu watakuambia hao ni paka wa mtaani walichukuliwa wadogo uone afya zao.
Nahisi uemanza kupenda wanyama ukubwani,na hili ndio tatizo,na nahofu ni tatizo la kisaikolojia pia.
Ungekuwa mpenda wanyama tangu mdogo basi hii kesi ni ndogo sana.Pick from street kisha muweke home uone.
Hao mbwa tu wenyewe unaosema kila siku wanapandishiwa mitaani na wanazaa aina hiyo ya Shepherd unaoisema,na wapo kibao,mtu kutoa malaki ni kutaka
 
Back
Top Bottom