Natafuta paka wa kufuga

Natafuta paka wa kufuga

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
628
Wanabodi, ninahitaji sana paka wa kufuga, kama kuna mtu mwenye nao na naweza kupata mmoja naomba PM tafadhali
 
Kuna wale tanzania animal welfare society huwa wanao..watafute facebook.
 
Yaani hili tangazo limenifanya nichecke sana.
Lakini inategemea na maeneo unayoishi,maana hapa kwangu ningekuambia uje na gari uchukue bure idadi unayotaka.
 
Paka shume au paka gani weka wazi
 
njoo tanga hata ukitaka semi imejaa unapata. nadhani ndo mji unaoongoza kwa idadi kubwa ya paka kwa upande wa tanganyika
 
Yaani hili tangazo limenifanya nichecke sana.
Lakini inategemea na maeneo unayoishi,maana hapa kwangu ningekuambia uje na gari uchukue bure idadi unayotaka.

Wanafuga pets wamenielewa sana, shukrani nyingi kwa mama dunia kunipa link ya animal welfare society
 
Paka wa magomeni tandale mwananyamala manzese ni wezi hao halafu wanapenda samaki kama wavuvi
 
Ahahahahahahaaaaaaaaa hili tangazo limenifanya nicheke sana,huyo mtu anayetafuta paka ametokea marekani nini?
 
Back
Top Bottom