Natafuta nyumba ya kukodisha dar yenye kila kitu ndani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ya kukodisha dar yenye kila kitu ndani

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mdau wetu, Feb 25, 2012.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MSAADA....... MSAADA....... MSAADA....Natafuta nyumba ya kukodisha kwa muda wa miezi miwili ambayo ina kila kitu ndani. Nimesikia hapo Dar naweza kupata naomba msaada kwa wadua wenye infomesheni. Isipungue vumba vitatu, iwe na kila kitu ndani. nijulishe na gharama zake.
   
 2. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Jaribu Mlimani City japo bei sina hakika lkn it was about USD 1500 Per Month.
   
Loading...