Likwanda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 3,926
- 1,160
Mman'gati huo wimbo wa moyo kwa kweli hata mimi naupenda sana. Kama haujaupata online basi huwa zinapatikana ktk maktaba ya TBC Taifa huwa zinauzwa hapo. Kam. ulivyosema ni kweli ulipigwa sana wakati wa uchaguzi wa 95 nafikiri siku hiyo RTD walikesha kwa mara ya kwanza kabisa.
Last edited by a moderator: