Natafuta Nyimbo za zamani za Taarab

Natafuta Nyimbo za zamani za Taarab

Dah,sijaona mtu akitaja "mlango wa mungu u-wazi" au walau japo "fimbo ya mungu" ujue nn kinamshikisha mtu adabu....hizi zinanipeleka mbaliiiii kilwa kisiwani kwenye majahazi haswaa na sio lile la mzee yusuph...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Mphamvu...u realy made my day!dah ....nashindwa ku-download niweke kwenye computer yangu,zaidi ya you tube wapi naweza zipata hizi...?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mphamvu...u realy made my day!dah ....nashindwa ku-download niweke kwenye computer yangu,zaidi ya you tube wapi naweza zipata hizi...?

Unatumia browser gani? Kama ni Fayafoksi kuna add-on inaitwa DownloadHelper, ni ya bure na inasaidia kushusha video kutoka Yuutyubu, Vimeo, Metakef na website yoyote yenye multimedia file ambayo inaplay.
 
Jamani kuna ambaye ana wimbo wa taarab ya long unaimbwa "Pendooo linaumaaa lasumbuaa walimwenguuuu"sijui kaimba nani wala unaitwaje hata nashindwa kusearch ni download naupendaa i wish ningeupata.
 
Jamani kuna ambaye ana wimbo wa taarab ya long unaimbwa "Pendooo linaumaaa lasumbuaa walimwenguuuu"sijui kaimba nani wala unaitwaje hata nashindwa kusearch ni download naupendaa i wish ningeupata.

egypian music club - pendo linaua
 
100.5 Times fm jumapili saa tatu asubuhi mpaka tano mwambao asilia

87.5 TBC TAIFA kila Jumatatu Kuanzia saa sita na dakika 5 usiku mpaka saa saba kamili...
hapo utamsikia bimdanga Shida Masamba anavyoshusha vitu adimu kabisa
 
bi Malika
curture musical club
egypian music club
burundi taarab
makame faki
machaprala
mukhim
shani mucical club
juma balo
black star
luck star
JKT

ukipata nyimbo za makundi na watu hao kisha uwe umepikiwa wali wa nazi na papa wa nazi then msosi umefunikwa kwa kawa...wakati huo pembeni una nusu kilo ya Mrungi toka Mombasa kwa Juma Mtongwe...

dah Dunia yote utaiona yako...
nafaidi saana mwenzenu, poleni saana mnaohangaika na nyimbo hizo za Mzee Yusuph na gagulo wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom