Ndiyo ina:Ina hizo nyimbo?
nitamtuma mtu halafu yani najilaumu kuna kipindi nilitaka nizicopy nizisave kwenye google drive maana cd haziaminiki ila sijui nini kilinizuia kufanya hvyoDah! Sijui nifanyeje
ndiyo hiyo amba yawe amba yawe amba yawe amba yawe ipo dah hizi nyimbo uwa zinanibariki sanahoooooo ambaya yawe amba yaweeee eeeeehhhh amba yawee oooohhhh ambaaaa.....
hapo vipi mzeee umeipata hiyo
Jumapili nitamwagizqa mtu akainunue then anitumie nyimbo via email then nitashare na weweIna hizo nyimbo?
..ukiipata nichek na mimi mkuu maana niko mkoani.RockCity huku
Aisee!! Barikiwa sanaaaaaaaa mkuuu.ntaku MB bundle utayotumia mkuu
Usijali mkuu maana kwenye internet nimezunguka sijawahi pata hata kwa bahati mbayaAisee!! Barikiwa sanaaaaaaaa mkuuu.ntaku MB bundle utayotumia mkuu
acha kumnenea vibaya mtumishi wa bwanaKwani huyo mzee wa bapa alikuwa ana singo' zake.?
You tube ameeziweka kwenye page ya tutashinda GRC juzi katiUsijali mkuu maana kwenye internet nimezunguka sijawahi pata hata kwa bahati mbaya
Hata mimi ninaupenda sana wimbo huoUkiangalia katika semina zake huyu mtumishi hua kuna tunyimbo tuzuri sana anatuimba twa kipekee, kama ''KWA IMANI TUTASHINDA'' ..''OHH SAYUNI SAYUNI'' N.K
Kama kuna mwenye hutu tunyimbo tuzuri anisaidie hapa tafadhari