Natafuta nyama ya kondoo

MdogoWenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2009
Messages
233
Likes
95
Points
45

MdogoWenu

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2009
233 95 45
Ndugu,

Hebu nielekezeni mji wowote au mtaa wowote hapa nchini, ni wapi wanauza au kuchoma nyama ya kondoo.

Najua Vingunguti kunauzwa Mbuzi na sasa hiv X-mass iko karibu hakukaliki. Bucha nyingi zinajulikana kwa nyama ya ng'ombe.

Lakini kondoo sijawahi kusikia.

Niisaidieni. Nina hamu naye nilimla mojmba aliponichinjia nilipoenda kijijini kumtembelea utotoni.
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,310
Likes
38,165
Points
280

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,310 38,165 280
Na mi kwa uroho wangu nikapelekwa kwenye kondooo, kutest nkashangaa ladha tofauti kabisa, nikauliza kondoo wa mjini ndio wana ladha hii? Nikajibiwa hiyo ni ze kitimoto, bwana ehhh, kuanzia siku hiyo sijaitafuta tena nyama ya kondoo, lm always asking for ze kitimoto
 

Forum statistics

Threads 1,203,077
Members 456,571
Posts 28,098,848